TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri
Mwendawazimu mwingine tunaongelea maswala ya umeme yeye anatuletea usenge wake wa maandamano wapi na wapi
Katiba mpya mmeachana nayo? Sasa mnadai umeme. Mbona mnatapatapa? Subirin kipigo cha mbwa mwizi
 
Wazee wa maandamano hamkosi sababu daah. Nasubiri mkipelekwa kisutu mkiwa mnachechemea huku waandishi wanawananga na mikamera yao.
Tatizo LA kukatika katika Kwa umeme imekua kero Kwa nini wakati tunalipa kodi lukuki nazungumzia Kibaha mjini hadi Kwa mathiasi kila dakika umekatika Kwa nini mnafanya nini Sasa haya ndio maendeleo , mnakera mnon mno na cha ajabu tuliambiwa kuna gesi lakini hatuoni faida yake upuuzi mtupu
Kama mmewachoka hamieni shirika jengine
 
Kweli tanesco wanakera. Kama siku hizi wamekuja na style yao ya kukata umeme usiku wa manane. Vyuma vyenyewe vimekaza na mida hiyo ndio ya majizi.
 
HAYA TENA!!! SASA HIVI UMEME UMEKATIKA
HUKU MWANANYAMALA, JE KULIKONI!!!
USIKU WA KUAMKIA LEO, MUHIMBILI WODI KARIBU ZOTE ZILIKUWA KIZA!???
 
Inakera kweli, vitu vinaharibika, biashara hatufanyi! Kama umeme wamgao tuwekwe wazi tujiweke kimgao
 
Washafanya yao ubungo external yote ...


Jana usiku tena walikata hawa watu kipind cha mvua huwa bora sana kwao ....mana wanapata visingizio sasa sasa hiv kweli muda huu ni wa kukata umeme bila taarifa?
UMEME WALIKATA KUANZIA SAA TISA NA DAKIKA 20 USIKU WAMEKUJA KURUDISHA SAA TATU KAORO ASUBUHI.
 
Huku Arusha napo ni shida, yani wanakata mara kwa mara. hapa wameurudisha dakika 40 zilizopita. Hili jambo la kukata bila taarifa siyo zuri hata kidogo.

Mfano mimi laptop yangu imekufa betri yani kila wakikata nayo inazima, wananirudisha nyuma katika kazi zangu🙁. ishu ya nishati ya uhakika ni ya muhimu sana kwa nyakati hizi!! HALAFU HUWA NAJIULIZA ILE GESI YA MTWARA ILIISHIA WAPI? MAANA TULIHAKIKISHIWA UMEME WA UHAKIKA KIPINDI KILE, AU BADO WANAICHIMBA!!! Pengine wenzetu wa Dar mtakuwa mnajua ilipofikia maana si mbali na Ntwara!!!
 
Hivi mpaka miaka hii umeme bado unakatikakatika tuuu, poleee ni sana tuamie k2a solar sasa kama mimi hutowafikilia hao mbwa tanesco.
 
Kupata mita mpya nafata taratibu gani? Na nalipia sh ngapi? Na inachukua muda gani kupata huduma? Nipo DMS,temeke
 
Huyu mbweha anaongelea maandamano wakati wanaume tunaongelea mendeleo anataka kuolewa
 
Halafu eti tunategemea nchi ya viwanda wakati umeme ni wa kubahatisha.

TANESCO miaka yooote ni magumashi tu utafikiri hakuna wasomi huko.

Ni Wazee wa Ahadi za Uongo kuwa umeme hautakatika tena.
 
tanesco wanakata umeme usiku mida ya wanga....mida ya wezi...
nane..tisa usiku mida mibaya sana hiyo
 
Eti wanatusaidia kubana matumizi,sasa umeme wa 10000 natumia miezi3. nina friji,pasi n.k
 
Back
Top Bottom