Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndugu mpendwa mteja kwa mteja anayetoa taarifa kamili anapata huduma mapema iwezekanavyoJamani wanajamvi hebu niambieni, kuna mtu yeyote ambaye tatizo lake limetatuliwa kwa kuandika kwenye thread hii ? Nimeandika kuhusu TANESCO Mbezi, badala ya kufuatilia limefutwa, je TANESCO wanufurahia uzembe wa ofisi yao ya Mbezi ? Wanataka Raisi atatue matatizo mangapi ? Kama mnataka kila kitu kiende kwa Raisi sawa ila msitulilie baadaye.
Umelipa lini kwa jina gani na namba Yako ya simuNdugu, Huku Geita tunaambiwa mita za three phase hazipo, tumefanya malipo tokea mwezi February, hadi sasa hakuna huduma tuliyo patiwa, tunaomba Msaada, mtufikishie taatifa hizi Kwa wanaohusika ili tuletewe huduma.
Hii hoja yangu mbona haijajibiwa??Ndugu mpemdwa mteja hatuuzi mita bali kuna gharama za kuunganishiwa umeme, chukua fomu tukupimie na kukupatia makadirio
Ndugu mpendwa mteja kwa mteja anayetoa taarifa kamili anapata huduma mapema iwezekanavyo
Hahahaha mkuu umechoka na hasara za shirika letu.Tunaomba TANESCO. muweke utaratibu wa mikataba na masharti ya mikataba haiwezekani kila siku mlete hasara alafu tunaendelea kuchekeana.
Fanyeni utaratibu kuwepo na mikataba.
Mtakapo leta hasara mlipe mara moja.
Wateja wetu wato watafanyiwa vipimo kama mkataba wa huduma kwa wateja unavyotaka, tunawaomba radhi sanaKwa nini tatizo lisishughulikiwe kwa ujumla wake wakati linawahusu watu wengi. Kwa nini mteja kwa mteja. Mbezi hawataki kwenda kufanya survey wakati watu wameshalipa ? Kisa hawana usafiri. Watu wako tayari kutumia usafiri binafsi hata kwa kuchanga, wanasema hairuhusiwi. Fungeni ofisi basi tujue hakuna huduma.
Mimi ni mpangaji wa muda mrefu hapa kwenye hii nyumba... Nilikuta nyumba haina umeme na mwaka 2004 niliweka umeme... Sasa miaka hii ya karibuni ilivyokuja kuenea luku nimepewa mita ya luku ambayo kila nikinunua umeme nakatwa asilimia Fulani ya deni la zamani Sasa nimejenga nyumba yangu.. Nataka kuhamia bado sijaweka umeme.. Na siwezi kumwachia mwenye nyumba deni hilo.. Je naweza kuhamisha deni kutoka mita ya mama mwenyenyumba na kulihamishia kwenye mita yangu????Thread namba 4057 hamjanijibu
Tanesco naombeni mnipe majibu ya hili ombi langu.Tanesco,
Habari zenu
Nahitaji kuwa wakala wa tanesco wa kuuza token za luku toka kwenu moja kwa moja.
Nipeni hapa mchanganuo mzima na namba za simu ili niwasiliane na ninyi moja kwa moja naombeni hapa vitu vinavyotakiwa n.k...
Asanteni.
N.B nipo eneo ambalo token za luku Za muhimu sanaa na baadhi ya watu wanapata shida.
*SHIRIKA LA UMEME TANZANIA (TANESCO)*TENESCO KUNA SHIDA GANI TEMEKE?
NDO NIMERUD SAIVI SIMU YANGU INA 5% HAKUNA UMEME, NATAKA KUANGALIA MPIRA...mnarudisha naa ngapi?