TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri
Tanesco naweza weka luku kwenye kiduka nilikopanga mwenye nyumba akizingua nikaondoka naluku yangu kwenda kuitumia nilikopanga kwa maana nyumba inakuwa na vyumba sita kwenye kulipa watu wengine wanajifanya umeme kwao sio muhimu ila ukiweka wanakimbilia kuwasha taa za mbele
 
Phase- means single/ 3phase!, Idadi ya waya zinazokuja kwa mteja. Kama ni mbili hiy ni single phase, kama nne hiyo ni 3phase supply!. Tarrif ni kundi la matumizi ya umeme!.

Ili Tanesco wawe kuuza umeme lazima wawagroup wateja wao kwenye tarif mbalimbali , wana tarif 1 mpaka 6 nafikiri!. Hapo tarif 1. Ni mteja wa kati ya unit 76- 7500kwh. Hawa wana bei yao per unit!, Tarf 4 ni 1-75kwh mtu anayetumia elfu 9 kwa mwezi, . T2 , t3, hao tunaambiwa ni viwanda Au mahotel makubwa!
WEKA SLIDE TUHAME NAYO
 
Tanesco naweza weka luku kwenye kiduka nilikopanga mwenye nyumba akizingua nikaondoka naluku yangu kwenda kuitumia nilikopanga kwa maana nyumba inakuwa na vyumba sita kwenye kulipa watu wengine wanajifanya umeme kwao sio muhimu ila ukiweka wanakimbilia kuwasha taa za mbele
Mita ikishafungwa eneo moja haihamishiki na kuhamisha ni kosa kisheria labda kwa sababu ambazo zipo ndani ya maamuzi ya TANESCO

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naomba ufafanuzi niliomba kuunganishiwa umeme kwa kuchukua fomu 2 ili nipate mita 2 kwenye nyumba zangu 2.

Surveiyor alipita na kupitisha nyumba 1 nyingine akidai itahudumiwa pale ambapo hii moja itakapopata umeme.

Tarehe 27/3/2020 nimelipia kwq ajili ya kupatiwa umeme , nikapewa taarifa ya kusubiri kwa muda wa siku 60. Kupitia ukurasa huu, nikasoma taratibu za kupatiwa umeme siyo siku 60 tu, ongeza neno za kazi.

Mm Niko Mkuranga eneo liitwalo Mkokozi , sasa naomba kujua lini ? Ndo itakuwa siku 60 zimefika! Na zikifika ndo wataweka kila kitu na umeme kuwashwa? Au kuna siku zingine tena za kusubiria?
 
Je uliuliza ofisi yetu ya Mkuranga? Umeomba kwa jina gani na namba yako ya simu tafadhali

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Je uliuliza ofisi yetu ya Mkuranga? Umeomba kwa jina gani na namba yako ya simu tafadhali

Sent using Jamii Forums mobile app
Nashukuru,
Sijarudi ofisini kuulizia, kwa sababu nilipolipa na kwenda pale, walinijibu kuwa sikuwa na sababu ya kwenda kwani wao walishayaona malipo yangu na wakanijulisha nisubiri kwa hizo siku 60.

Namba yangu ya simu ni 0754695296
Na nimeomba kwa jina la Philemon Carlos Kallomo
 
Asange kwa taarifa tunaifanyia kazi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwenye mgao kwa kweli mmejitahidi sana. Huku kwetu tatizo la umeme hamna. Hamna mgao kabisaaaaa...
 
Salaam,,,Tanesco mkoa wa Ruvuma wilaya ya Tunduru mmekuwa kero sana,shughuli zetu haziendi Umeme low voltage na hamfanya chochote zaidi ya kutupiga kalenda tu,,toka tuanze kutumia greed ya Taifa imekuwa kero sana,, tumeimbiwa sana kuhusu mtafunga automatic voltage regutor lakini mpka leo hakuna kinachoeleweka,,badilikeni jalini wateja wenu
 
Eneo gani

Kijiji

Namba ya simu

Namba ya taarifa

Tafadhali

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tunaomba kuelemishwa, wakazi wa Mgeule Juu,
Mtaa wa Mgeule Juu,
Kata ya Buyuni,
Wilaya ya Ilala,
Mkoa wa Dar es salaam
Tutapata lini umeme? Kuna mradi wa REA URBAN lakini tuna mashaka kama utatufikia maana nguzo tunaona zimeishia njiani. Hatupati mrejesho wowote kutoka hata kwa mwenyekiti wetu wa mtaa. Nasikia runahudumiwa na ofisi ya Kisarawe tanesco.
Tafadhali onyesha namba ya simu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Eneo gani

Kijiji

Namba ya simu

Namba ya taarifa

Tafadhali

Sent using Jamii Forums mobile app
Wilaya Tunduru
Kijiji Muungano
0684408000
Kiukwelii tunapata taabu sana,,kazi zetu zimesimama na watoto tar 29 shule,,kama wahusika tunaomba mlifanyie kazi,hali yetu ni mbaya kiuchumi tunategemea Umeme kuendesha shughuli zetu
 
#8,047
Tunaomba kuelemishwa, wakazi wa Mgeule Juu,
Mtaa wa Mgeule Juu,
Kata ya Buyuni,
Wilaya ya Ilala,
Mkoa wa Dar es salaam
Tutapata lini umeme? Kuna mradi wa REA URBAN lakini tuna mashaka kama utatufikia maana nguzo tunaona zimeishia njiani. Hatupati mrejesho wowote kutoka hata kwa mwenyekiti wetu wa mtaa. Nasikia runahudumiwa na ofisi ya Kisarawe tanesco.
Namba yangu ni 0767334505
 
Tunashukuru kwa taarifa tunaifanyia kazi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huu umeme wenu uku kigoma mjini ni mgao usio rasm au maana tunachoka vitu vinaharbika jamani
 
Back
Top Bottom