TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri
nimelipia umeme laki tano na elfu 18 nimelipa tayari toka mwezi wa pili na tanesco wameleta nguzo toka tarehe za mwanzo za mwez huu. Tatizo mpaka leo zimepita wik tatu hawajaja kuziweka hizo nguzo ( kufungiwa umeme ) na mim nianze kuzitumia hela nilizolipa .. Naomba uwakumbushe waje kuziweka na wanifungie umeme kuna nyumba imejengwa juzi juzi tu sasa hiv umeme unawaka na pale palikua panahitaji nguzo kama mimi na hawajasubilia hizo siku sitini au mpaka nitoe rushwa ndio mnaweka umeme mana unaona dalili rushwa wazi wazi. Na isitoshe nimeanza kupambana na swala la umeme toka mwaka jana mwezi wa tisa surveyor kuja imetumika nguvu ya ziada na naenda kuchukua control number mwezi wa 2 mwanzon

Details zote nimekutumia pm
 
Nimenunua LUKU tangu jana najaribu kuingiza TOKEN lkn hkuna acception yoyote, inaleta Connection Failed.
 
MBEZI BEACH MAKONDE ENEO LA VIWANDANI HAMNA UMEME TANGU JANA SHIDA NI NINI?AU MWENYEWE KAONDOKA NA MAMBO YA MAZOEA YANAANZA
 
MBEZI BEACH MAKONDE ENEO LA VIWANDANI HAMNA UMEME TANGU JANA SHIDA NI NINI?AU MWENYEWE KAONDOKA NA MAMBO YA MAZOEA YANAANZA
Tumepokea taarifa kwa hatua zaidi tafadhali onyesha namba ya simu kwa ufatiliaji
 
Habari wakuu!naomba kusajiliwa kwa meter yangu hii...
Christian G majengo
Meter no 54194906951
Nipo Dar es salaam
Jiji la ilala
0783721337
Kitonga
Nimejitahidi kuwafata ofisini kwao majibu ninayopata ni network ipo chini
 
Tunafanyia kazi tafadhali
 
Mwenge karibu na Azania Bank pia kuna line haina umeme tangu jana usiku mpaka sasa hivi na taarifa zilishatolewa jana ileile lakini bado mpaka hamjaja na hii line kipindi hiki inasumbua sana mnatengeneza inakaa kidogo tu inarudia tatizo lile lile inaonesha Transformer imechoka
 
Naomba kujua kila kitu kuhusu 0 tariff
  • inamhusu mteja wa aina gani
  • awe na sifa gani
  • viwango vya malipo ili kuipata
  • faida na hasara za hiyo huduma
  • je ukijiunga waweza kujitoaje kama mteja anaiona haimfai
  • inachukua muda gani tangu kuiomba mpaka kuipata
  • utaratibu wa kuipata ukoje
Mkuu hiyo tariff ya kupata umeme mwingi kwa kiasi kidogo.

Ni shida tupu.

Hupati hadi upenyeze rupia..

Sifa zake ni kutumia units zisizozidi 75 kwa mwezi.
Ndani ya miezi 6.

Inaweza kuwa na sifa hizo na wakakusumbuwa kukibadilishia tariff.

Kitendo cha tanesco kuweka system ya mafundi wao kuja kukagua majumbani ni kutengeneza mazingira ya rushwa.

Walipaswa mtu Mwenye sifa ya kupata Umeme wa tariff husika iwe ni automatically ktk system zao kuepuka usumbufu wa rushwa.
 
Nimelipia kuunganishiwa umeme tokea mwaka jana, nkawekea luku lakin ikashindwa kusoma, baada ya units za kuanzia nlizowekewa kwisha, Tanesco walikuja na kufungua luku na kuondoka nayo tokea mwaka jana mpaka Leo kimya
Jina Rose Mgonela
Eneo stend kuu mbeya
Wilaya Mbeya mjini
Simu 0752 262650
Namba ya taarifa 0083
Card Namba nlopewa mwanzo 43026582833
 
Ahsante kwa taarifa tafadhali
 
Tunafanyia kazi tafadhali

MREJESHO;

Napenda kutoa taarifa ya mrejesho wa ombi langu la kutaka kusajiliwa meter yangu asubuhi ya leo.

Meter iyo tayari imesajiliwa na niwashukuru sana Tanesco hasa kupitia jukwaa hili Ahsanten sana tena sana

Nina swali dogo tu kwenu hivi kama nikinunua umeme wa shilingi elfu tisa mia moja na hamsini(9150) ni kweli nitapata unit hizo 75?
 
Mita yangu ina shida imekatika waya sehem ya kuchomeka ili niweze kuingiza unit mnanisaidiaje kutatua tatizo hilo? Maana nimekua nikipata shida sana kuweka umeme
 
Mita yangu ina shida imekatika waya sehem ya kuchomeka ili niweze kuingiza unit mnanisaidiaje kutatua tatizo hilo? Maana nimekua nikipata shida sana kuweka umeme
Je umetoa taarifa ofisi za aneo lako ? Kama ndio onyesha namba ya taarifa kwa hatua zaidi
 
Malipo ya fidia kwa wananchi waliopitiwa na miradi ya umeme katika wilaya ya Ngara mkoani Kagera na vitongoji vyake, yataanza kutolewa lini?
 
Back
Top Bottom