upcoming tycoon
JF-Expert Member
- Apr 16, 2018
- 353
- 471
nimelipia umeme laki tano na elfu 18 nimelipa tayari toka mwezi wa pili na tanesco wameleta nguzo toka tarehe za mwanzo za mwez huu. Tatizo mpaka leo zimepita wik tatu hawajaja kuziweka hizo nguzo ( kufungiwa umeme ) na mim nianze kuzitumia hela nilizolipa .. Naomba uwakumbushe waje kuziweka na wanifungie umeme kuna nyumba imejengwa juzi juzi tu sasa hiv umeme unawaka na pale palikua panahitaji nguzo kama mimi na hawajasubilia hizo siku sitini au mpaka nitoe rushwa ndio mnaweka umeme mana unaona dalili rushwa wazi wazi. Na isitoshe nimeanza kupambana na swala la umeme toka mwaka jana mwezi wa tisa surveyor kuja imetumika nguvu ya ziada na naenda kuchukua control number mwezi wa 2 mwanzon
Details zote nimekutumia pm