Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu watu wanaamini hivyo kuwa Mwanza aliipendelea kutoka na matamshi yake: "Mwanza sita bomoa nyumba zao kwa sababu walinipigia KURA ila hao wa KIMARA/MBEZI nitabomoa bila fidia pamoja na kesi yso MahakamaniNi jambo la kushangaza sana! Ni kweli kabisa hayo maeneno yamejengeka lakini hakuna umeme. Unaenda vijijini, sehemu nyingine nyaya zinaenda hata umbali wa mita 400 bila kuwepo nyumba, lakini umeme upo. Mwanza nyumba kwenye hayo maeneno, zipo karibu karibu sana lakini umeme hakuna.
Watu walio mbali na Mwanza, wengi wanaamini marehemu aliipendelea Mwanza, lakini ukweli ni kwamba hakuna cha pekee. Barabara za lami ni za kuhesabu. Barabara ya njia moja ni moja tu ya kilometa 4, mitaani barabara nyingi mashimo matupu, umeme maeneo mengi ya pemebezoni mwa jiji, haujapelekwa.
Mimi nimeambiwa kwa wateja wanaohitaji nguzo..tanesco bado hawajapewa maelekezo..sielewi
MKuu sio mjini tu, hata huko vijijini. Kama ulipitwa na awamu ya kwanza ya REA, basi bei ya TANESCO (300,000/- + ) INAKUHUSU.Nikweli Bei ya kuingizia umeme mijini imeshuka Hadi 27000?
Mkuu ni Kwamba nguzo zipo zimekala tu barabarani za REA sasa ni miundombinu gani tena? Maana tatizo Kuu ni nguzo!!!!!!Unashauriwa kusubiri miundombinu ikufikie ndio uombe umeme tafadhali
HV nikilipia umeme tanesco na hapa kwangu nguzo ipoJe ulienda Wilaya gani? Namba ya simu iyoandika kwenye fomu yako tafadhali
Hizi taarifa zangu kuhusu Kimara mwisho.Kila wiki nakuja na taarifa kama hizi.Na bado tatizo linaendelea.Leo ni tarehe 28/05/2021.
Kimara mwisho line ile ile ya dawasco nnayoizungumzia kila mara humu inaexperience jambo lile lile miezi nenda miezi rudi,miaka nenda miaka rudi.
TANESCO hebu angalia frequency ya hizi taarifa zangu za kila wiki humu uone tatizo la kukatika umeme mara kwa mara lilivyo kubwa Kimara mwisho.
Kwanini kwingineko mmeweza kutuliza umeme,Kimara panawashinda nini?!
Hapo juu it was last week i came here complaining ukanijibu hivyo.
Leo nimekuja tena nakueleza Kimara mwisho mlikata umeme asubuhi saa 12 mkarudisha saa 2.Saa hizi jioni hii mmekata tena.
Wewe unayeninibu embu angalia hii feequency ya report zangu za kila wiki humu uniambie ni kwanini Kimara hapaishi tatizo hili.
Mimi nimeamua kukusaidia.Ntaripoti kila mara umeme unavyokatika ili huko makao makuu mjue kinachoendelea Kimara mwisho.
Daaaa Rais ajiuzulu ? Tukuchague wewe basi, ukikatika tena ukiwa wewe Rais tukufanyeje?Kwakweli kama mkazi wa Dar naamini hatujazoea kabisa hali hii ya kukatika umeme kila baada ya robo saa! Mbaya zaidi unakatika hovyo hovyo bila taarifa na mpaka sasa umeshaniunguzia friji yangu.Kwakweli haya mambo mbona hatukuyaona enzi za utawala uliopita? Je Tanesco wanahujumu nchi? Hali hii inakera sana! Mbaya hakuna yeyote anayechu...
Karibu Songwe. Umeme 24/7 elfu kumi unapata units 321.8Kwakweli kama mkazi wa Dar naamini hatujazoea kabisa hali hii ya kukatika umeme kila baada ya robo saa! Mbaya zaidi unakatika hovyo hovyo bila taarifa na mpaka sasa umeshaniunguzia friji yangu...
Ajiuzuru sababu friji yako imeungua?Kwakweli kama mkazi wa Dar naamini hatujazoea kabisa hali hii ya kukatika umeme kila baada ya robo saa! Mbaya zaidi unakatika hovyo hovyo bila taarifa na mpaka sasa umeshaniunguzia friji yangu...