shankal
JF-Expert Member
- Jul 11, 2013
- 372
- 324
Nishawachoka siwafatilii tena mtakuja kufunga umeme mkipenda wenyewe toka mwezi wa nane nawabembeleza kama naomba kaziTunashukuru tafadhali onesha taarifa kamili hata dm kwa huduma bora
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nishawachoka siwafatilii tena mtakuja kufunga umeme mkipenda wenyewe toka mwezi wa nane nawabembeleza kama naomba kaziTunashukuru tafadhali onesha taarifa kamili hata dm kwa huduma bora
UfafanuziKama kuna kitu kinafanya tumkumbuke marehemu JPM ni tatizo kubwa ambalo lipo Tanesco, tatizo ni nini?
1. Baada ya waziri mpya kuteuliwa umeme unakatika kila wakati, wengine wanahisi huenda hii ni janja janja ya kutengeneza tatizo ili zabuni za umeme wa dharura zitolewe watu wapige dili, kwa kweli ndugu February ndoto zako za urais zisahau kabisa kwa utendaji huu, inatia hasira na uchungu, WHY? Iliwezekanaje miaka 6 sasa hivi ishindikane, au kuna hujuma?
2. Kubadili mfumo wa huduma kwa wateja nalo ni tatizo kubwa sana.
Shirika kubwa hivi kuwa na kitengo kimoja cha huduma kwa wateja nchi nzima ni kujidanganya, ukiIngatia utatuzi wa chngamoto unahitaji mafundi kwenda kwenye eneo husika na sio utatuzi remotely kama kampuninza simu au mabenki. Unapiga simu mtoa huduma hajui ni wapi huko unapopataja, apokee simu ya sikonge, apokee ya ndungu, apokee ya buhongwa, lazima achanganye madesa. Mfumo uliokuwepo wa kituo kuwa eneo husika ulikuwa mzuri na fanisi kwa wapata huduma kwanza wanajua maeneo na matatizo pia wanayafahamu na utatuzi wake ni rahisi. Kwa mfumo wa sasa kuapata tu hiyo fursa ya kuongea nao utapiga mara 5 au 6 na usubiri haswa....
Kwakweli tanesco mmetuweza, tunasikitika na kuumia, nawaza mkurugenzi mkuu na waziri hawaoni hizi kero au ndio watasema wapewe muda, mpaka lini???
Namba ya simu ya nini??Je unazungumzia eneo gani? Wilaya na namba ya simu tafadhali
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Eti kwa haraka zaidi acheni uongo jipangeni upya na mkubali kusahihishwa watu tunalalama kufungiwa umeme mita tu miezi sita je wanaohitaji nguzo moja au mbili si wanalia na kusaga menoUfafanuzi
Tunapenda kukujulisha kuwa mfumo wa uendeshaji na utoaji wa huduma duniani unaelekeza taasisi/kampuni kuwa na njia sahihi za kupokea na kufanyia kazi taarifa za wateja kama ifuatavyo:
1.Upokeaji wa simu kwa kutumua mifumo ya kisasa ambapo simu zote zinaingia sehemu moja, mazungumzo yanarekodiwa, kazi inaingia kwenye mfumo na usimamizi wa utekelezaji wa kazi au taarifa za wateja kufanyiwa kazi kwa haraka zaidi
2.Simu zinazoingua hazipokelewi na mtu mmoja bali ni timu ya watu ambao wanatumia laini moja ya simu (0748550000) ambayo inapokelewa kupitia wapokeaji wengi kwa wakati mmoja
3.Tumeanzisha viunga maeneo mbalimbali ili kusohmgeza huduma karibu na wateja wetu. utakuwa shahidi unapoona magari au bajaji zikipitia kutoa huduma, lengo ni kusogeza huduma karibu na wananchi ambapo kila penye watu wengi timu yetu itakuwa hapo, kazi ikipokelewa inafikisha kwa timu husika kwa mfumo mara moja
Tunatambua wakati wa mabadiliko kutakuwa na changamoto za kimtazamo lakini sisi tunazipokea zote ili kuendelea kuboresha huduma
TANESCO,Tunayaangaza Maisha Yako
Tafadhali onesha taarifa kamili tukupatia huduma au ufafanuzi, je uliandika namba gani ya simu, Wilaya? Na tatizo gani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Eti kwa haraka zaidi acheni uongo jipangeni upya na mkubali kusahihishwa watu tunalalama kufungiwa umeme mita tu miezi sita je wanaohitaji nguzo moja au mbili si wanalia na kusaga meno
Nishaweka solar nyie mtakuja kwa muda wenu hata 2024Tafadhali onesha taarifa kamili tukupatia huduma au ufafanuzi, je uliandika namba gani ya simu, Wilaya? Na tatizo gani
Ndugu mpendwa Mteja wetuLeo mmeamua kuongeza umeme ili kutuunguzia vitu Mamaee zenuuuu
Ndugu mpendwa Mteja wetuMbona mmetukatia umeme usiku huu jamani, Tabata mwananchi? Tunalalaje sasa na joto hili?
Mara zote huwa mnajibu hivi ila hamfanyii kaziTumepokea taarifa kwa hatua zaidi tafadhali
Dumila-kilosa hakuna umeme tangu asubuhi shida nini jamaniTunashukuru kwa taarifa imepokelewa kwa hatua zaidi