Baba Rayhaan
JF-Expert Member
- Mar 24, 2011
- 634
- 436
Huku Arusha baadhi ya maeneo ya vibandani morombo hamna umeme tangu jana mchana na wala hata taarifa hamtoi tujue tatizo ni nini na tujue tunajihami vipi 😡
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wataleta sms yao ile ndefuTANESCO hebu rudisheni umeme Kimara.Tumewachoka sasa!Rudisha huu umeme sasa hivi.
Bado urasimu wa kufungiwa laini mpya ni mkubwaTANESCO rombo umeme umekua
Wakupigia Magot yani masaa mawili upo
Alaf 10hrs hakuna mbona hiv Lakin??
Tafadhali onesha namba ya simu kwa wepesi wa kufatilia taarifa hiiNyumba hii imejegwa huku nyaya za umeme zimepita chini ya paa, pamoja na jitihada za kutoa taarifa kwa Tanesco mara kadhaa kabla ya jengo hilo kupauliwa naa baada hakauna mfanyakazi wa Tanesco amefika hapo.
Nyumba ipo Dodoma Changombe juu, mnarani
View attachment 2062698
+255754570112Tafadhali onesha namba ya simu kwa wepesi wa kufatilia taarifa hii
Naomba mlifanyie haraka kuna watoto wanasoma madrasa hapo no hatari sanaTumepokea kwa hatua zaidi tafadhali
Tumepokea taarifa kwa hatua zaidi tafadhaliChanganyikeni Kisiwani njia ya kwenda Kanisa la AICT umeme haupo tangu jana usiku. Walituambia mafundi wanashughulikia lakini uliporufu ni nyumba chache tu ndio walipata umeme.
Leo saa 5 asubuhi ulirejea lakini ilipofika saa 9 alasiri ulikatika tena hadi sasa haujarejea.
Ibrahimu
0787377511
Tafadhali tambua kuwa haya ni makato ya kodi ya majengo kwa muda wa miezi sita yaani Tsh 1000 kwa mwezi, wapo waliokatwa mapema kuanzia mwezi wa nane wengine wameendela kukatwa kutokana na uhakiki unaoendelea.Mkuu niangalizie hii ilitokea vp..wapangaji wanataka kunilipisha..hiyo 6000 ilikatwa kwa deni lipi?View attachment 2063867
Ok poa...itabidi niwalipe hiyo 6k yaoTafadhali tambua kuwa haya ni makato ya kodi ya majengo kwa muda wa miezi sita yaani Tsh 1000 kwa mwezi, wapo waliokatwa mapema kuanzia mwezi wa nane wengine wameendela kukatwa kutokana na uhakiki unaoendelea.
Tafadhali onesha namba ya simu na namba ya taarifa kwa wepesi wa kufanyia kazi taarifa zakoLeo siku ya pili huku eneo la Mgeni nani Mbagala hatuna Umeme nyumba 5 tuu! tumepiga simu 0748 550 000 tunajibiwa mafundi wanafatilia tatizo letu. Mpaka saa hizi toka jana hatujaona fundi wala dalili ya umeme kurudishwa. Kupitia jukwa hili tunaomba tatizo letu lipatiwe ufumbuzi usiku huu.
Tafadhali onesha namba ya simu na namba ya taarifa kwa wepesi wa kufanyia kazi taarifa zakTANESCO
Pale Manzese kwenye Kona ya kuingia serikali za mtaa wa Mvuleni kuna transformer yenu inabutuka butuka mara kwa mara.
Hatari iliyopo ni kwamba chini yake kuna mchoma kuku na kioski Cha vilevi vya bei rahisi na watahadharisha kuna siku italeta maafa
Mnashindwa Nini kuiambia serikali ya mtaa iwaondoe ilihali mafundi wenu wakija kutengeneza wanawaomba walevi wawapishe kidogo halafu warejee?