Igurumuki Masanja
JF-Expert Member
- Dec 25, 2016
- 993
- 2,021
Umelipa TSh 6,000 kwa ajili ya LUKU, No. ya kampuni: 001002, kumbukumbu ya malipo:54205135483. Muamala: 25472915640. Salio jipya ni TSh 96. Jumla ya Makato TSh 100. (Ada TSh 0, Tozo TSh 0), VAT TSh 15. 25/01/22 21:11.Ndugu mpendwa Mteja wetu
Tunafurahia kukuhudumia kupitia kurasa zetu za mitandao ya kijamii, tafadhali onesha taarifa kamili kwa huduma bora.
Jina
Eneo
Wilaya
Namba ya simu
Tatizo
Toka lini
Namba ya taarifa
Ahsante sana
TANESCO Huduma kwa Wateja
SIMU : 0748550000