TANESCO tutangazieni kama kuna mgao wa umeme nchini

Mkuu, unahitaji stand alone renewable energy system kama solar system hasa kwa huko nyumbani. Inapunguza adha.
 
Mkuu, unahitaji stand alone renewable energy system kama solar system hasa kwa huko nyumbani. Inapunguza adha.
Kuna vitu huwezi endesha kwa umeme wa solar
Shida inapungua kidogo sana
 
Tanesco wamevurugwa hata ratiba hawajui.
Aidha Kuna mgomo au Kuna management vacuum maana sio kwa kukatika huku.
Tanesco engineers tuambieni, mnamkomoa Nani mkikata umeme Mara kwa Mara?
 
Wamekata kudadeki na hii ngoma kurudi mpaka night saa 5
 
Mumbwa hawa wamerudisha now kumbe mpaka tuwaseme
 
Huku mbezi kila siku unakata asubuhi nakurudi jioni
 
Wanasiasa uchwara bhana eti tunaumeme wa ziada.

Hiyo SGR watakuwa wanatumia maku zao kuiendesha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…