Wacha nije chemba mkuu nipate mautundu kuepuka hasara pia.
 
Tatizo kuwa na shirika moja linafanya shughuli zote yaani kuzalisha umeme ,kusambaza kwa kuweka line mpya na pia mwisho Kuuza umeme hapo ufanisi lazima uwe mdogo.kama ni mimi ningevunja hili shirika tupate Mawili au matatu ili kuongeza ufanisi uwajibikaji na ubunifu zaidi na pia ushindani.
 
Maamuzi ya kishujaa ili kuokoa uchumi wa mtu mmoja mmoja.
Ukitafuta wabishi wewe ndo mbishi sasa.
 
Hayandio mambo yalikuwaga Shirika la Posta na Simu uwanja ukawekwa Huru yakaja Makampuni ya Simu kuwekeza mambo yakawa Valuvalu

Sasa utaratibu huo uletwe kwenye Umeme yaje Makampuni ili ushindani uwepo nauzembe wa Tanesco ndio utaishia hapo
 
Dah! Afrika ni Afrika tu. Walete huduma ya kupunguziana umeme
Mkuu wewe umetoka lini mwezini maana mda si mrefu USA walikuwa na shida ya mafuta baada ya bomba la kusafirisha mafuta la colonial kupata changamoto; halafu wewe unakuja na akili za ki CHADEMA CHADEMA
The pipeline, which stretches from Texas to New Jersey, had been shut down since Friday after a ransomware attack. Over the last few days, Colonial has opened segments of the pipeline manually to relieve some supply pressures in a few states, including Maryland and New Jersey.
 
Hata mfumo wa kiutumishi katika halmashauri hasa module inahusika na mikopo ya fedha kwa watumishi haupo hewani hii ni wiki ya nne haupo hewani, yaani mambo hovyo tupu
 
Yaani sijui tunakwenda wapi!! zaidi ya siku ya 3 kila tukijaribu kununua umeme kwa mitandao yote hakuna kitu!! Na hakuna hata anayejali wala kufuatilia tatizo, watu wametulia tuliii!? sa sijui tunakwenda wapi!!
 
Inategemea na aina ya Luku,vinginevyo utakuwa umekopeshwa tuu hzo units,siku ukiweka hela deni lao linakatwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…