Hao sato hawawezi kubanikwa? kijijini kwenu mliishi vipi kabla umeme wa REA haujavumbuliwa....
 
Jamii isiyoangalia mambo yajayo ni jamii mfu. Jamii iliyokamilika hujiwekea malengo mahususi kuhusu nini kesho kitatokea na kisipotokea ni njia gani ya kujikomboa.

Suala la umeme wa Tanesco kukatika au maji kukatika ni kitu lazima kitatokea iwe kwa dharula au makusudi.

Token namba za umeme wa Tanesco ni kitu ambacho mtu yakupasa kuwa na Token za ziada kwa ajili ya dharula.

Akiba ya maji nyumbani ni muhimu ukawa nayo hata kama Umezoea maji hayakatiki kwenye bomba zako, Kuna siku yatakatika kwa dharula.

Leo nimekutana na vituko maeneo ya Dar es Salaam, Ofisini watu wapo hovyo na nguo zimejikunja na Wengine wanatoa harufu, Akina Dada ndio balaa kubwa sana, Nauliza kwanini hampo smart?Najibiwa umeme tunashindwa kununua hivyo pump za maji hazifanyi kazi kwa kukosa umeme.

Je suala la maji na umeme ni dharula? au yakupasa kuwa na akiba ya Maji na Token za umeme.

Suala la Corona nilitegemea tumejifunza maana ya Dharula na Akiba Katika maisha yetu.

Corona ilifika watu wengi wakiwa hawana akiba ya kitu chochote, Tangazo lolote la kufungia watu ndani ingeleta shida saba.
 
Chukua extension cable.

Kata kichwa chake kile. Utakuta nyaya zimo pale kwenye kichwa.

Chubua plastiki ubaki na zile kopa.

Nenda pale waya wa tanesco unapoingilia.

Kuna ile sehemu haijafunikwa na plastiki la waya.

Unganisha nyaya zako hapo.

Kisha peleka extension yako ndani annza kutumia.

Tukutane ahera.
 
Nasikia kuna watu wanachezea mifumo? asalaleee! hii nchi ina watu vichwa ngumu....wana mbeep mama, akipiga wanaanza kulialia..
 
TAYARI MENEJA WA IT TANESCO KALIWA KICHWA
 
Cc TANESCO
 
Hivi hakuwezi kuwa na namna ya kuuza umeme kwa vocha kama vile makampuni ya simu za mkononi yanavyofanya?.
 
Hili ni tatizo tangu Jana ukinunua umeme laini ya voda,Airtel na tigo zinagoma kama nitatizo liko Tanesco wanapaswa watujulishe
Mbaya zaidi na hela inaondoka sijui wataturudishia kwa mtindo gani maana costomer service ya mitandao hususani Airtel hawapokei simu kabisa
 
Huyu mama nilishamshusha vyeo sakata la mkanganyiko game ya watani na upuuzi wa uzinduzi wa kitabu. Anacheka na kima. Fukuza kazi hao kenge. Huu ni ushenzi wa karne. Maafrika tutaendelea kuwa nyuma kama mk****u
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…