Hahahaaa Kazi iendeleeMtanikumbuka kwa mema na mazuri....ujinga huu kamwe usingetokea kama mwendazake angekuwa hai, siku karibu tatu leo ndio tunamuona akifoka kwenye runinga,je siku zote alikuwa wapi? mara mfumo kwenye TRA. mara Bandari. shughuli ipo. watu wameanza kudemka.
Mkuu jana nimejaribu na leo asubuhi imekataa wacha nijaribu tenaNi Kweli Kupitia NMB Unanunu Umeeme
Hiki ni wazo lenye afya sana Mkuu.Kufuatia kuwepo tatizo la mfumo wa kununua luku, suluhu kwa siku hizi zenye matatizo ni ku achia umeme utumike na watu watakutana na bill zao mfumo ukitengema
Siyo kila Mtanzania ni mmiliki wa NMB.Tumia nmb mkononi au nenda kwa wakala wa nmb utapata
Nilikomaa na nikafanikishaHao mawakala wako wangapi? Umeona foleni lake?
ngoja niwapigie ndugu zangu wanaotaabika huko wajaribu hiiNdugu zanguni njia ya uwakika ya kutumia kwenye hii changamoto ya kununua umeme ni kununua umeme kupitia simu bank hii ndio inawezekana nimeona jirani yangu kafanikiwa kupitia hii njia wasunueni na wengine please.
Tanesco wametangaza njia hii pia.Ndugu zanguni njia ya uwakika ya kutumia kwenye hii changamoto ya kununua umeme ni kununua umeme kupitia simu bank hii ndio inawezekana nimeona jirani yangu kafanikiwa kupitia hii njia wasunueni na wengine please.
Kama huna account...Nenda kwa wakala wa nmb atakuuzia lukuSiyo kila Mtanzania ni mmiliki wa NMB.
Waliojaribu, hela zimeenda hakuna token zilizorudi. Tuhesabie siku 3 za mahangaiko
Everyday is Saturday............................... π
Hii vungi hii [emoji848]Sukuma Gang Members wapo kazini kuhakikisha Mzanzibari hatoboi
Maliza shule mkuu, kisha anza kudevelop software professionally upitie vitu kama code reviews then uje ufute ujinga wako hapa.Mkuu nasoma computer science....katika programming hakuna hitirafu ,na hata virus ni program ya computer inayofanya kazi kwa kuipa ubize computa au kupiga copy au kudelete files muhimu na ni mtu anaeza tengeneza virusi, hebu nirud kwenye point, program ikiandikwa haibadiliki, ni pure number ile, I mean automation is perfect, Kama ilivo 1*1=1 it can't change...
Bora kulala giza kuliko kurudi enzi zile za gizani zilizotesa watu.Ni bora hata Tanesco ife kabisa lakini mwendazake aende zake tu na tusijepata wa hivyo tena
Umeme umekuja mkuu. Na nmb wenyewe wamenitumia sms kuwa naweza kununuaMkuu jana nimejaribu na leo asubuhi imekataa wacha nijaribu tena