TANESCO wapata hitilafu katika mfumo wa kununua umeme wa LUKU
Mtanikumbuka kwa mema na mazuri....ujinga huu kamwe usingetokea kama mwendazake angekuwa hai, siku karibu tatu leo ndio tunamuona akifoka kwenye runinga,je siku zote alikuwa wapi? mara mfumo kwenye TRA. mara Bandari. shughuli ipo. watu wameanza kudemka.
Hahahaaa Kazi iendelee

Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
 
Kufuatia kuwepo tatizo la mfumo wa kununua luku, suluhu kwa siku hizi zenye matatizo ni ku achia umeme utumike na watu watakutana na bill zao mfumo ukitengema
Hiki ni wazo lenye afya sana Mkuu.
Tanesco ni wahujumu uchumi toka kitambo... sasa ni wakati wa kuruhusu makampuni au watu wengine wagawe umeme kuliko kulinda hili shirika lisilo na huruma kwa taifa.
 
Tumia nmb mkononi au nenda kwa wakala wa nmb utapata
Siyo kila Mtanzania ni mmiliki wa NMB.
Waliojaribu, hela zimeenda hakuna token zilizorudi. Tuhesabie siku 3 za mahangaiko

Everyday is Saturday............................... 😎
 
Ndugu zanguni njia ya uwakika ya kutumia kwenye hii changamoto ya kununua umeme ni kununua umeme kupitia simu bank hii ndio inawezekana nimeona jirani yangu kafanikiwa kupitia hii njia wasunueni na wengine please.
 
Ndugu zanguni njia ya uwakika ya kutumia kwenye hii changamoto ya kununua umeme ni kununua umeme kupitia simu bank hii ndio inawezekana nimeona jirani yangu kafanikiwa kupitia hii njia wasunueni na wengine please.
ngoja niwapigie ndugu zangu wanaotaabika huko wajaribu hii
 
Ndugu zanguni njia ya uwakika ya kutumia kwenye hii changamoto ya kununua umeme ni kununua umeme kupitia simu bank hii ndio inawezekana nimeona jirani yangu kafanikiwa kupitia hii njia wasunueni na wengine please.
Tanesco wametangaza njia hii pia.
 
Siyo kila Mtanzania ni mmiliki wa NMB.
Waliojaribu, hela zimeenda hakuna token zilizorudi. Tuhesabie siku 3 za mahangaiko

Everyday is Saturday............................... 😎
Kama huna account...Nenda kwa wakala wa nmb atakuuzia luku
 
mbona nilijaribu kwa baadhi ya mawakala jana wengi wanadai ni system ina sumbua lakin wengine wanatoa huduma bila shida ,jion hii
ndio nimebahatika kupata tokon kwa wakala,sa sijui ni dili wanapiga au vip
 
Mkuu nasoma computer science....katika programming hakuna hitirafu ,na hata virus ni program ya computer inayofanya kazi kwa kuipa ubize computa au kupiga copy au kudelete files muhimu na ni mtu anaeza tengeneza virusi, hebu nirud kwenye point, program ikiandikwa haibadiliki, ni pure number ile, I mean automation is perfect, Kama ilivo 1*1=1 it can't change...
Maliza shule mkuu, kisha anza kudevelop software professionally upitie vitu kama code reviews then uje ufute ujinga wako hapa.
 
Ingekuwa wakati wa DR JPM tatizo hili la umeme vyama vya upinzani vikiwemo chadema na zito zingeshatoka hadharani kusema wanayoweza kusema na tathimini za kuyumba kwa uchumi vyote vikichagizwa na nia ya kumfanya Rais DR JPM achukiwe na wananchi 😀😀😀 Lakini NAANDIKA KWA HERUFI KUBWA ANGEKUWEPO YULE BINGWA HUU UPUUZI USINGETOKEA.

LILE DARAJA MOROGORO. ILE SHULE YA KING'ONGO MLIONA MTITI WAKE 😀😀😀 UNGEKOSEKANA UMEME MKWENYE MITANDAO MASAA 6 AU LAKINI SI SIKU 3 MPAKA WENGINE KUKAA GIZA.

OK bana hayo yamepita tunachodhihirisha Jeshi lile lilikuwa la watu 3 tu DR JPM DR BASHIRU Na HUMPHREY POLEPOLE na wengineo kwa siri kama PM basi wengine woote bureee kabisa!

KWAHIYO MJUE WATZ Hakukuwapo na chama cha siasa kutoka kilichokuwa na maslahi na wanyonge HAKIKUWAPO NDIO maana DR JPM ALIVISHAMBULIA KWA NGUVU Sasa huu ndio wakati wa kuinua vyama vya Siasa vya kutetea maslahi ya wanyonge
 
umeme unanunulika kwa njia ya simu tangu jana usiku.
Asante nje. waziri Kalemani kwa kuchukua hatua za haraka.
 
Hatuishi kwa sababu CCM inatawala, na life hata leo hii, Nia yetu ni kupata viongozi wenye uchungu na maisha ya wote na kulinda maslahi ya nchi Kwa nguvu zote bila kuonea haya mtu yeyote.
 
Back
Top Bottom