Kwa uandishi wa namna hii, Computer Science itaendelea kudharaulika sana kwenye mitandao ya Kijamii nchini Tanzania.
 
Nimenunua saa 11 jioni kupitia Tigo Pesa.
Wacha uongo hadi saa hizi 11:48 PM hamna kitu na tokea jana.

Hivi mawaziri na boss wao wanapataje usingizi kwa kadhia hii kwa wananchi waliowapa dhamana ya uongozi?
 
Kwakweli mama amtoe kalemani hapo naona anamuujumu mama toka magu atangulie huku kigoma kwanza umeme unakatika sana hatujawahi kushinda bila tatizo alafu watu tumewekwa kwenye matumizi makubwa wote naukiweka hiyo luku ya 10000 unapata unit 28 hata mwezi aumalizi zinakimbia kama nini sijui mfano mimi kwangu ninatumia tv flat nch 24 taa wat 5 zipo tatu lakini kwahali kama hii nauona umeme kama anasa enzi za muhongo prof hali ilikuwa poa sana lakini sasa ni hovyo kabisa nafikiria ninunue soler nimwachie kalemani umeme wake
 
Kwahiyo ili kununua umeme ni hadi kwa mawakala wao. Kesho nijihami kabla luku haijakata kabisa.

Nimejaribu kununua hapa naona hola.
 
Ndo tunafeli, hata ukianzisha project yako lazma ufanye michakato flan flan ya kiuchumi na utawala. Sasa ukiwafata wale jamaa watakuambia uje kesho Mara keshokutwa Mara sjui nn Mara utakuwe kutoa rushwa utazan unaombaj msaada vile.
 
Nipe
Kwa uandishi wa namna hii, Computer Science itaendelea kudharaulika sana kwenye mitandao ya Kijamii nchini Tanzania
Nipe fact mkuu, mm sio mhariri pia nna uwezo wa kawaida na nnatosha kufanya baaz ya kazi , sjui umeona kosa lip la kuizarau taaluma, pia sjui taaluma yako ,pia nikiwa nna akili timamu nathubutu kuandika kuwa programming sio sawa na factors affecting milk production in Canada, kwa mantiki hiyo nna ujasiri wa kukuambia chomoa hicho kibunzi huko jichoni
 
Kama ni hivyo basi hiyo sukuma gang ni mtandao mkubwa sana: malori kukwama bandarini, tra mtandao uko chini, majambazi wanatest mitambo dar, etc
Hao wasukuma wako wengi kiasi gani hadi kuwa kila sehemu ya tatizo ?mimi naona wapinzani wa sisiemu wanatumia hii njia kuwaondoa watu wa kanda ya ziwa upande wao bila kujua na ifikapo 2025 ndio utaona turnabout ki ukweli wasukuma hawajwahi kuwa na umoja wowote na hii sukuma gang nI tactic ya kuwaunganisha kuona kuwa wanabaguliwa na watu bila kujua wamekuwa wana shabikia hatimaye kisichokuwapo kitakuwapo na itakuwa kitu kibaya kuliko maelezo muda utaongea
 
Uko sahihi, wasukuma ni watu poa sana, very inclusive, tumesoma nao mashuleni walikuwa majamaa poa sana, hawakuwa na ubaguzi wala upendeleo. Nakumbuka tukiwa shuleni tulikuwa tunapenda sana kuwachagua kwenye uongozi maana walikuwa hawana noma, wao ilikuwa ni kutaniana tu.

Sijui hili la kuwaita sukuma gang na kuwabagua kama litawabadilisha, labda. Ila wakijiona wametengwa nadhani wataungana na kuwa na umoja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…