Tangu Rais Dkt. Magufuli afariki, hakuna Habari za vifo vya Corona

natangia mwenda zake ameondoka hakuna kampeni za nyung sio kwa viongozi wenye mamlaka hata waimba mapambio wa kipindi hicho saiz wakipigia kampeni njia za kisasa
 
natangia mwenda zake ameondoka hakuna kampeni za nyung sio kwa viongozi wenye mamlaka hata waimba mapambio wa kipindi hicho saiz wakipigia kampeni njia za kisasa
ilikuwa ni propaganda tu
 
aaahhhh kumbe basi sawa waendlee na propaganda za nyungu maisha yaende mbele
 
Huu ugonjwa kwa baadhi ya nchi ni seasonal hata hapa TZ tuliona wave ya kwanza ilihit kwa miezi kadhaa hata hii ya pili vile vile US Europe Brazil ni hardest hit area kwa respiratory diseases kabla hata ya corona wako vulnerable kuliko Africa countries ila hii virus inamutate inaweza kuja variant nyingine ikawa deadly sana hata kwa Africa inabidi tuchukue tahadhali
 
mwanaume huyu hapa, wewe sawa na Juma Lokole warumi akusaidie


Wanaume ni hawa hapa:


Hao wengine suruali tu.
 
Walioambukizwa wameisha wote. Kwa sasa bado hakuna wapya walioambukizwa.
 
It seems the curve has started flattening. The second wave started November immediately after 2020 Elections, through December and in January we entered the third wave with a rapidly rising parabola, which seems to have started flattening in April. Tusubiri!
 
ajenda ya corona ilitumika vibaya dhidi ya magufuli, laiti kungelikua na nia njema ndani yake mpaka sasa nadhani wangekua wanaendelea na kelele zile
 

Duniani akuna ugonjwa unao itwa covid 19 corona aipo Bali ni propaganda za awa wanao jifanya mapingwa wa duniani iyi

Mimi na ishi canada
Mwaka 2020 nili taka kusafiri nika ambiwa akuna kusafiri bila test ya covid
Nika ambiwa ni ende kupimwa nika enda kufanya test
Nika ambiwa niko positive
Nika ambiwa baada ya siku kazaa uta anza kusikia dalili nenda ukae ndani siku 14 cha ajabu nili kaa umo siku 14 bila kusikia dalili yeyote ya covid 19 nika baki na jiuliza maswali mengi ivi iyi ndo covid au bado ina kuja
Nika rudi hospitalini kufanyiwa test ya pili waka ni ambia covid yako ime isha
Nika jiuliza ivi ni ugonjwa gani ambao una malizika duniani bila mtu kutumia Dawa

Maswali yote niliyo jiuliza siku pata majibu nika ona potelea mbali

Nika safiri
Nika rudi kutoka safarini nika taka kuanza kazi
Mimi na wadogo zangu tuka enda kupimwa mimi na mdogo wangu wa pili tuka ambiwa tuna corona
Eti tukae ndani 14 waka tujaza hofu pale tuka kaa cha ajabu tena ndani ya izo siku 14 tuli kaa ndani atukuona dalili yeyote juu ya corona
Tuka rudi kupimwa mara ya pili mimi nika ambiwa nime pona mdogo wangu yeye bado ana corona ahija Malizika
Ili kaa ndani siku 14 bila chochote aka rudi waka mwambia amepona

Sasa maswali yangu juu ya corona

Uwaga na jiuliza sipatagi majibu

Nikaja kukumbuka tena
2017 kipindi ambacho tuli fika canada sisi vijana wote ambao tuli kuwa zaidi ya miaka 18 tuli ambiwa tuna ugonjwa wa hepatite B wote ambao tuli kuja nao
Mimi nili anza kusikia ugonjwa uo kwa rafiki yangu ali kuwa mnyonge saana aka ni ambia rafiki yangu mimi nataka kuwa acha duniani ndugu nina ugonjwa makali saana aka ni ambia hepatite B mimi nili kuwa si ujuwi nika mpa pole siku nyingine nika itwa mimi
Nika enda kupimwa nika nika ambiwa nina ugonjwa uho uo
Mimi nili lia saana mpaka nili tunga wimbo eti nikifa
Rafiki yangu wa tatu naye ali pimwa ivo ivo apo ndipo nika anza kujiuliza maswali juu ya uo ugonjwa siku rizika na majibu yao nili amuwa kurudi hospital kuliza juu ya ugonjwa uhu cha Ajabu waka ni ambia ugonjwa uhu upo saana barani afrika zaidi saana Tanzania
Nika uliza dalili zake nika ona sija wai sikia dalili izo

Nika uliza marafiki zangu juu ya dalili kama wamesha wai kusikia waka sema apana
Ivo wali kuwa wamesha pewa apwenti menti ya kwenda kuonana na docter bingwa wa magonjwa aya
Marafiki zangu waka kubali mimi nika pinga sito enda
Waka ni ambia una kataa kwenda kuonana na docta ukweli wata kufungia kwenda kupimwa au kwenda hospitalini nika kataa nika amini kitu ambacho wana ita bora kufia ukweli kuliko kusimamia uongo

Ndo nataka kusema wasio juwa wanzungu ndo awa ambao wali kuwa wana mpinga magufuli ata iyi covid akuna apa
 
Kwa bandiko lako hili unamtuhumu mwendazake zake kuwa ana mkono na vifo vilivyokuwa vinatokea wakati wa uhai wake. Shauri yako, hizi ni tuhuma nzito sana
 
Uzuri unamuongelea god (Lucifer) na sio God (The almight)..

Ninyi watumishi wa god endeleeni kumtukana Magufuli mwana wa God.

 

acha unafiki mkuu,kama unanawa basi ni kwa ajiri ya kula kiporo chako si kuondoa virus vya corona.
 

kwani ukiandika jina lake halisi unababuka mk@ndu au???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…