Tanzania imesaini MoU na Iran leo

Kutoka Tehran, IRAN taarifa zimesambaa kutokana na Taarifa iliyowekwa kwenye habari picha kwa mujibu wa Chombo cha Habari cha Iran.
Hatua nzuri kwa Serikali
Good progress
Habari njema
Hongera sana serikali, tunasinga mbele tu!
Safi kabisa
MoU hiyo inahusu Nini?
Kwa nini mnaipongeza Serikali bila ya kujua kwanza Nini hasa Serikali hizi Mbili zimekubaliana???
 
Sasa ni wakati wa Kuandaa Shukrani kwa Netanyahau, kwa Kula vicha vya CC yote ya CCM taarifa atakazopata kwa wananchi zitakuwa kede kede
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…