Mzee makoti
JF-Expert Member
- Jul 27, 2016
- 3,482
- 4,673
Yes,akimaliza hii aliympokea magufuli, kumi yake inaanzia 2025 to 2035Hiyo mbona tayari, kama uhai upo tunataka awepo mpaka 2035.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yes,akimaliza hii aliympokea magufuli, kumi yake inaanzia 2025 to 2035Hiyo mbona tayari, kama uhai upo tunataka awepo mpaka 2035.
Tutafika tumechoka sana mkuu.machawa wanashangilia kila kitu hawahoji chochote.Hapo ndipo utaona upumbavu na ujinga wa baadhu ya wa Tz kitu hujakisoma huo ushirikiano utakuwa wa nini una impact zipi dude linashangilia.
Nitajie nchi tano ambazo israel anazisaidia kiuchumi,iwe kimikopo au kibiashara,,sasa utakuaje na ukaribu na israel ambayo wenyewe wanaishi kwa kutegemea misaada toka usa na nchi za ulaya,Huu si wakati wa kujifunganashika na iran iliyo na mtifuano na israel hata kama hatufungamani na upande wowote. Tungeacha kujionesha wazi kuwa tuna mashirikiano na iran kwa dhana kwamba adui wa rafiki yako ni adui yako pia huku tukitaka pia tuwe na ushirikiano na israel hata kama kuna maslahi ya nchi kutoka kwa mataifa hayo hasimu
We notes that Tanzania inaenda kutumika kama proxy ya Iran, ili ku kwepa restrictions,
Mlitaka tz iwe na ukaribu na Israel?Israel hakuna nchi yoyote anayoisaidia kiuchumi,zaidi yenyewe ndio inasaidiwa na Usa na UkTunajua tunachopongeza lakini??
Kwaiyo mlitaka tuwe na ushirikiano na masikini wenzetu israel?maana israel yenyewe inaishi kwa misaadaNchi imewekewa vikwazo, ukijisogeza sana kwa ukaribu na nchi hiyo, ni kujitafutia shida, maana utachunguzwa na kufuatiliwa sana kwa ukaribu.
Kwa tendo hili, tutafuatiliwa sana ili kujua uhusiano wetu unagusa nini. Ukigusa maeneo ambayo Iran imewekewa vikwazo, sheria za kimataifa zinatoa ruhusa kutuunganisha kwenye vikwazo au kutuadhibu kwa njia yoyote ile kwa mwanya wa kusimamia utekekezaji wa vikwazo.
Kuna wakati iligundulika meli ya Iran kutumia bendera ya Tanzania ili kukwepa vikwazo.
Kuna wakati ukiwa na umaskini wa akili na mali, unaweza kuanza kufanya vitendo unavyoamini vitakusaidia kumbe ndiyo unajimaliza zaidi. Nchi hii inategemea ufadhili na mikopo ya mabeberu, tukiwekwa pembeni, hata tusiwekewe vikwazo, tunyimwe tu misaada na mikopo; Iran, China na Urusi, wanaweza kuziba pengo, wakati wananchi wao wenyewe, wengi wapo hoi bin taabani, na serikali zao zimeshindwa kuwasaidia?
30% ya Wairan wanaishi kwenye umaskini wa kutupwa. Hiyo ni kwa mujibu wa taarifa ya Serikali ya Iran yenyewe:
Recently, the Minister of Labor in Khamenei's government provided shocking statistics on the extent and severity of poverty in Iran. On September 8, 2024, Mehr News Agency quoted Ahmad Meydari, an expert in poverty, as saying: “30% of the population is below the poverty line.
Si wamesema hapo kuwa ni trade and industrial cooperation!Ushirikiano wa mambo yapi? Khe.
Kwa uelewa wako, kati ya Iran na Israel, ni ipi iliyo tajiri? Ufahamu kuwa nchi haiwezi kukusaidia wewe kama yenyewe ipo hoi. Iran ipo hoi ukilinganisha na Israel, halafu ndiyo iisaidie Tanzania? Israel ndiyo iliyotusaidia kutujengea chuo kikuu cha Dar es Salaam, JKT, muradi ya kilimo, n.k. Misaada na ukaribu na Israel vilitoweka tulipovunja uhusiano wa kibalozi.Nitajie nchi tano ambazo israel anazisaidia kiuchumi,iwe kimikopo au kibiashara,,sasa utakuaje na ukaribu na israel ambayo wenyewe wanaishi kwa kutegemea misaada toka usa na nchi za ulaya,
Israel kaisaidia nchi gani kimisaada? Yenyewe inaishi kwa fadhila za america,Kwa uelewa wako, kati ya Iran na Israel, ni ipi iliyo tajiri? Ufahamu kuwa nchi haiwezi kukusaidia wewe kama yenyewe ipo hoi. Iran ipo hoi ukilinganisha na Israel, halafu ndiyo iisaidie Tanzania? Israel ndiyo iliyotusaidia kutujengea chuo kikuu cha Dar es Salaam, JKT, muradi ya kilimo, n.k. Misaada na ukaribu na Israel vilitoweka tulipovunja uhusiano wa kibalozi.
Iran ni nchi maskini, ipo kwenye lower middle income.
Israel, pamoja na udogo wa nchi na uchache wa watu, ni moja ya nchi zilizoendelea:
Israel is considered a high-income country by the World Bank.
of 2024, the IMF estimated Israel has the 26th largest economy in the world by nominal GDP, and one of the biggest economies in the Middle East.
Huelewi kitu. Israel ina uchumi mkubwa kuliko mataifa mengi ya kiarabu na hata Ulaya. Misaada ya US kwa Israel siyo kwa sababu nchi ni maskini bali ni kutokana na mikataba ya kiulinzi baina ya hayo mataifa.Nitajie nchi tano ambazo israel anazisaidia kiuchumi,iwe kimikopo au kibiashara,,sasa utakuaje na ukaribu na israel ambayo wenyewe wanaishi kwa kutegemea misaada toka usa na nchi za ulaya,
Israel kaisaidia nchi gani kimisaada? Yenyewe inaishi kwa fadhila za america,
Ebu nitajie nchi zinazokopeshwa na israel au kusaidiwa,na nchi ya ngapi kiuchumi mkubwa iyo israel
Hayo umesema Wewe, jibu swali, tunajua tunachopongeza? Hayo mengine ni weweMlitaka tz iwe na ukaribu na Israel?Israel hakuna nchi yoyote anayoisaidia kiuchumi,zaidi yenyewe ndio inasaidiwa na Usa na Uk
Labda viwanda vya drones na makombolaKutoka Tehran, IRAN taarifa zimesambaa kutokana na Taarifa iliyowekwa kwenye habari picha kwa mujibu wa Chombo cha Habari cha Iran.
View attachment 3131965
Tz na Iran hawajasaini mkataba wa kupeana misaada bali wamesaini mkataba wa ushirikiano kwenye mambo mbali mbali punguza upumbavu.Kwa uelewa wako, kati ya Iran na Israel, ni ipi iliyo tajiri? Ufahamu kuwa nchi haiwezi kukusaidia wewe kama yenyewe ipo hoi. Iran ipo hoi ukilinganisha na Israel, halafu ndiyo iisaidie Tanzania? Israel ndiyo iliyotusaidia kutujengea chuo kikuu cha Dar es Salaam, JKT, muradi ya kilimo, n.k. Misaada na ukaribu na Israel vilitoweka tulipovunja uhusiano wa kibalozi.
Iran ni nchi maskini, ipo kwenye lower middle income.
Israel, pamoja na udogo wa nchi na uchache wa watu, ni moja ya nchi zilizoendelea:
Israel is considered a high-income country by the World Bank.
of 2024, the IMF estimated Israel has the 26th largest economy in the world by nominal GDP, and one of the biggest economies in the Middle East.
Wewe ungesema sijui Ki english hivyo naomba tafsiri ya kilicho andikwa hapo?MoU hiyo inahusu Nini?
Kwa nini mnaipongeza Serikali bila ya kujua kwanza Nini hasa Serikali hizi Mbili zimekubaliana???
Mweweshe wewe.Makasiriko yote haya ya nini wakati mtu huyo anahitaji kueleweshwa
Mbona imeandikwa? ungeomba tafsiri ya kilicho andikwa hapoHiyo Mou iwekwe hapa, kuchangia kabla ya kuuona huo mkataba ni aina ya utaahira..
Mimi nipo na Iran mpaka dakika ya mwisho. Kwanza ni Waislam wenzangu, pili, hawajavamia nchi ya mtu.Kilichopo ni kutuchonganisha tu. Watu wawili wakipigana, ukafanya urafiki na mmojawapo, automatically unatangaza uadui na upande wa pili. Busara ni kuwatazama kwa mbali tu wakitwangana. Tusuburi tuone. Tusije kutolewa kafara.