komasalonde
JF-Expert Member
- Sep 9, 2024
- 1,783
- 2,479
Kila mtu akitetea dini yake tu na kuacha kulitetea Taifa lake Tanzania tutaiuza nchi bila uzalendo. Kwa hiyo watanzania wasio waislam unawaonaje ? Nyerere aliyekuwa mkristo akawaunga mkono Palestine angekuwa na akili hizi ingekuwaje ?Mimi nipo na Iran mpaka dakika ya mwisho. Kwanza ni Waislam wenzangu, pili, hawajavamia nchi ya mtu.