Tanzania imesaini MoU na Iran leo

Mimi nipo na Iran mpaka dakika ya mwisho. Kwanza ni Waislam wenzangu, pili, hawajavamia nchi ya mtu.
Kila mtu akitetea dini yake tu na kuacha kulitetea Taifa lake Tanzania tutaiuza nchi bila uzalendo. Kwa hiyo watanzania wasio waislam unawaonaje ? Nyerere aliyekuwa mkristo akawaunga mkono Palestine angekuwa na akili hizi ingekuwaje ?
 
Wasio Waislam wengi wao si wanajiita kondoo!

Kwani huelewi hilo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…