Tanzania na Vifurushi vipya vya Data na Sauti (Aprili 2021) - Mwitikio wa wananchi

Wanaona ndiyo itakuwa njia ya kudhibiti mitandao maana kama waliwahi sema wanatamani siku moja malaika ashuke afumgie mitandao yoote watashindwaje kutukwamisha kwa kuongeza bei ya bundle?
Aliyesema hii kauli malaika wamemzima yeye,tumuacheni apumzike kwa amani...sisi tunaendelea kuijenga upya nchi yetu.
 
Stupid
 
Watu wa IT tunaomba mtueleweshe..hivi haiwezekani kuwa na access ya kununua internate bundles outside the country? Maana wanyonge tumenyongwa sana na Bei ya bundles..tunatamani kuhamia nchi jirani...We had no way out
Ukipata jibu nicheki tuwe wawili.
 
anatakiwa ajiuzulu tu, inaonekana kazi imeshamshinda
 
Haya maumivu wao hawayaoni kwakuwa hali zetu na zao ni sawa na mbingu na nchi..kuna baadhi yao hawajui hata kwa mwezi wanatumia bei gk
Matumizi ya internet imekuwa anasa kweli dunia ya leo, kweli hawatutendie haki
 
Wewe kwako ni sawa ila kwangu sio sawa maana hiyo 30k nilikuwa na pewa zaid ya Gb 30 kwa mwez
Je unatumia kufanya shuhuli gani huko mtandaoni?
Kama ni jambo la msingi huwezi kosa pesa ya kununua.

Wananchi wanaposikia watu wanakandamizwa na wenye mamlaka huwa wanajitenga kama haliwahusu, sasa leo hili la bundle limewahusu onyesheni kuwa nyie ndiyo wenye nchi.
 
tusubiri ile starlink internet ya elon musk
 
Tatizo leno mmekariri vibando vya buku mbili sijui buku jero.

Jiunge na bundle la mwezi 30k linatosha kabisa.
Huenda hata hizo bandle za 30k unazisikia kwa jirani au rafiki, hata hauja wahi kujiunga, siku zote fukara hujikweza mbele za watu ili kulinda heshima yake asidharaulike
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…