Tanzania na Vifurushi vipya vya Data na Sauti (Aprili 2021) - Mwitikio wa wananchi

kwahiyo tutegemee nini? kushushwa kwa vifurushi? au moto ni ule ule?
Tegemea Makamu wa Rais kujikosoa ujinga wake wakati akiwapandishia kodi Makampuni ya simu bila kufikiria asilimia wananchi ndio unawapelekea mzigo.
 
Hata wale waliokuwa wanauza vitu online watapoteza wateja.
Hongereni sana ni hatua nzuri tuishi kama mashetani
 
Poa kaka ngoja nijaribu usinichoke kama nikishindwa
Ukishaingia OperaMini, mara nyingi huwa inajidisplay mbele hapo!.
Fanya njia ya kusearch via OperaMini kwa kuandika freebasics.com
Uteleze kama mimi hapa!.
 
Naona unarukaruka kama maharage kwenye chungu. 😂

Where did say walichofanya ni sahihi?

If you can't comprehend maneno machache niliyoandika..

Nikiandika mengine kukuelezea nikujisumbua tu!

Bado una mzigo, tena nikuongezee mzigo! 😂
Unaongelea Mambo ya kuattack nmekwambia neno moja tu wewe ni stupid maana naonaga maneno yako humu si unaona unavoendelea kumuattack mtu usiyemjua
 
Tuwe wavumilivu ndugu zangu bei za bando tutazizoea tu kwa sababu ni juzi tu ndio tumeingia uchumi wa kati.

Uchumi wa kati una gharama zake kwa sababu wajomba wa kutubeba hupungua!

Kila zama na kitabu chake

Maendeleo hayana vyama!
Bora makonda angepita?
 
Aiseee ndio nimeangalia sasa hizo pack.

Kmmke Voda[emoji2959][emoji2959][emoji2959][emoji2959][emoji2959][emoji34][emoji34][emoji34][emoji34]
Mpaka vya chuo vimechinjiliwa balaa
 
Tuwe wavumilivu ndugu zangu bei za bando tutazizoea tu kwa sababu ni juzi tu ndio tumeingia uchumi wa kati.

Uchumi wa kati una gharama zake kwa sababu wajomba wa kutubeba hupungua!

Kila zama na kitabu chake

Maendeleo hayana vyama!
Wote ni takataka.
 
Malengo ni kukusanya Tshs Trilioni mbili. Hoja inakuja zinapatikanaje? Hapa ndio tutaona rangi mbalimbali ikiwamo nyekundu.
 

Pole Safari ndiyo Kwanza imeanza sasa.
 
Dhuluma kubwa kuliko maelezo kwa wateja NINARUDIA SIMI YANGU YA NOKIA 3310
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…