Kupaza sauti physically kunataka ujasiri sana especially kuvumilia virungu vya ugoko na mabomu ya machozi wakati wenzenu wametulia majumbani kwao wanawacheki kama sinemaπππWanaendesha wanavyotaka wao kwa sababu tumekuwa wavivu kupaza sauti physically tuna kalia kupaza sauti mitandaoni ambapo wanapita na kuzipuuza kama vile hawazioni.
Dhamira yao ilikuwa kuharibu hata hivyoHawa jamaa ndio wameharibu kabisa afadhali wangeacha vile vya mwanzo.
Ujumbe mzuri huu kwa ndugu-lile, mwenye I'd yake atusaidie kumuita hapa, please.Wakuu,
Kama kweli tunaamini katika uhuru wa mawazo kama haki ya kikatiba, na kama kweli tunaamini katika uwajibikaji wa viongozi, basi naomba huyu waziri Ndugulile asome ninayoandika kama jinsi yalivyo...
Sasa tufanyeje mkuu? Onyesha njiaWanaendesha wanavyotaka wao kwa sababu tumekuwa wavivu kupaza sauti physically tuna kalia kupaza sauti mitandaoni ambapo wanapita na kuzipuuza kama vile hawazioni.
Mchakato ulikuwepo lakini hawakuthubutu kuchukua hatua ya ghafla ya kupandisha gharama kiasi hiki.Kwa kifupi ni kama walikuwa wanasubiri mwendazake apite na sasa hawana woga wowote.InasikitishaHuu mchakato ulianza lini?
CC: MATAGA woteMimi ninavyojua offer hutolewa kwa wateja kama motisha. Maana wanakuwa wamekuchangia na umepata faida
Kulikuwa na ofa ya kwako tu au zile za kikanda ambazo mtu uliweza kupata Mb 500, na hamsini. Sasa wamefuta. Ina maana walitoa ofa sababu waliibia wateja?
Mkuu, sio basic need kivipi?π
Kuna watu wanatumia mitandao kwa masomo, utafiti, biashara, ajira, kazi, nk nk..
Mtu anaweza kuwa Katavi huko, akawa anafanya kazi kwenye kampuni moja au kadhaa US au Europe na anaendesha maisha vizuri tu.
So, kwa sasa internet ni zaidi ya basic need kwa baadhi ya watu, tena wengi. Ukiminya hiko unakuwa unanyonga watu kabisa
mwendazake aliwaambia tigo, airtel na zantel mwaka 2016 wasipoingia soko la hisa anazifuta, mpaka leo hajafuta tuMchakato ulikuwepo lakini hawakuthubutu kuchukua hatua ya ghafla ya kupandisha gharama kiasi hiki.Kwa kifupi ni kama walikuwa wanasubiri mwendazake apite na sasa hawana woga wowote.Inasikitisha
Sasa umepost vp humu mkuu?Acha kutumia simu sana hizi kero itaisha mimi nimehamia sehemu isiyo na network ya internet.
Nchi hii wapinzani ni sehemu ya tatizo maana wao kutwa wapo mitandaoni tu ndio wanapolalamika na hivyo malalamiko yao yanaishia kuonekana kuwa kama umbeya tu wa mitandaoni ndio maana hata Rais mama samia akasema wenye kununa na wanune huko instar.
Akili za kishenzi tu, katika mambo ambayo hayati alichemsha ni hili. kuna makundi mengi mtandaoni wengine wanafanyia biashara wengine recreation. Sasa kuhukumu watu wote sababu kuna cyber protestants ambalo ni kundi dogo miongoni mwa watumiaji ni makosa makubwa sana.Hii ndio ilikuwa sera ya Magufuli katika akuhakikisha mitandao ya kijamii watu washindwe kuitumia, maana alishasema anatamani malaika washuke wafungie mitandao.
Huwa najiulza sana eti ndy wanasema gharama za vifurushi zimeshuka hali hii, mwanzo Halotel Sh.1000 unapata GB 1 kwa wiki plus sms na dakika.Leo tarehe 1/4/2021 makampuni ya simu yamefanya mabadiliko makubwa katika vifurushi vyao.
Wamepunguza vifurushi kwa kiasi kikubwa hasa vifurushi vya data, sitaweka hapa kifurushi kimoja baada ya kingine lkn kwenye mitandao yetu hilo lipo.
Nenda kwenye menu tu nadhani utakutana na upuuzi wote
Nini nataka kusema?
Wakati dunia inakimbia kwa kasi kwenye technolojia sisi tunajirudisha nyuma tena kwa kasi kubwa na wala hapa siyalaumu haya makampuni ya simu kwani yenyewe yanapokea tu order toka Serikalini.
Kama wananchi wa kawaida kabisa tunaiomba Serikali iweze badilisha hiv vifurushi haraka sana maana wanachokifanya ni kurudisha juhudi za maendeleo ya kisayansi nyuma.
Na kwa vile tuna Serikali mpya nina hakika watashughulikia hili haraka sana na wala hawatasubiri hadi mwezi upite maana kilichofanyika ni zaidi ya upuuzi wa hali ya juu.
Kama Serikali itashindwa rekebisha hili basi tutajua hamna mpango na wananchi wa kawaida na mengi mnayoyaongea ni porojo tu
Naomba kuwasilisha.
Kabisa mkuu, wapumbavu sana watu wa hii sampuli.Nyie ndiyo mnaturudisha nyuma enzi za ujima.
Matumizi ya Internet ni sehemu ya kujipatia kipato mtandaoni.
Wazee wenye fikra km zako ndiyo wamejaa BOT hata kutoruhusu PayPal. Kenya wameruhusu lkn mewazidi nin kiuchumi? Mezoea shida na umasikini
πππVya mtandao upi maana haya maamuzi yalifanyika baada ya kikao cha kichawi baina ya wenye mitandao na bwana yule kiparangoto aliokabidhiwa wizara nyeti.
Sasa hiv nafanya survey mitandao mingine nione kulikoni.maana voda wamenishindaMimi ninavyojua offer hutolewa kwa wateja kama motisha. Maana wanakuwa wamekuchangia na umepata faida
Kulikuwa na ofa ya kwako tu au zile za kikanda ambazo mtu uliweza kupata Mb 500, na hamsini. Sasa wamefuta. Ina maana walitoa ofa sababu waliibia wateja?