Wao wamekali ujinga wa Enzi za Mwalimu wa kuwa TV inamilikiwa na mkuu wa mkoa tu ili habari wazilete wao kama ndoto walizooteshwa kiimani.You nailed it bro.
The world is shifting to digital world.
Gharama za maisha mtandaoni zinatakiwa kuwa nafuu kuliko wakati wowote ule ili watu waweze kumudu kuishi kwenye huu ulimwengu.
Serikal inabidi ielewe the world is competing for digital Economy.
Hapana JPM hawezi fanya huu upuuzi labda km unachuki nae binafsi. Nashawishika kusema kunawatu wananufaika na huu mpango .Walifanya hivyo iliposikika tu sauti watu sasa wamekataa kuitwa wanyonge,japo huu ulikuwa mpango wa magu
Ni jambo la hovyo kabisa hili. Nimefyekwa 75% ya kifurushi cha internet cha wiki within 24 hours na sijafanya lolote. Regulators wa MAWASILIANO wafuatilie hili vinginevyo kuna sabotage ya makusudi inafanywa na ISPs.Leo tarehe 1/4/2021 makampuni ya simu yamefanya mabadiliko makubwa katika vifurushi vyao.
Wamepunguza vifurushi kwa kiasi kikubwa hasa vifurushi vya data, sitaweka hapa kifurushi kimoja baada ya kingine lkn kwenye mitandao yetu hilo lipo.
Nenda kwenye menu tu nadhani utakutana na upuuzi wote
Nini nataka kusema?
Wakati dunia inakimbia kwa kasi kwenye technolojia sisi tunajirudisha nyuma tena kwa kasi kubwa na wala hapa siyalaumu haya makampuni ya simu kwani yenyewe yanapokea tu order toka Serikalini.
Kama wananchi wa kawaida kabisa tunaiomba Serikali iweze badilisha hiv vifurushi haraka sana maana wanachokifanya ni kurudisha juhudi za maendeleo ya kisayansi nyuma.
Na kwa vile tuna Serikali mpya nina hakika watashughulikia hili haraka sana na wala hawatasubiri hadi mwezi upite maana kilichofanyika ni zaidi ya upuuzi wa hali ya juu.
Kama Serikali itashindwa rekebisha hili basi tutajua hamna mpango na wananchi wa kawaida na mengi mnayoyaongea ni porojo tu
Naomba kuwasilisha.
Kila ulimi utakiri mbele ya CCMWakimalizana na sisi na wale, watakuja na kwenu pia.
Hakuna goti litaachwa kupigwa.
Wanaona pamoja na wingi wetu hatuna la kuwafanya wanajisahau sana kwamba na wao ni binadamu kama sisi,wanajiona wapo kwenye level ya juu ya ubinadamu kuliko sisi kama alivyokuwa anajiona huyo aliyeko mavumbini sasa.Mimi ndio maana naikubali sana nature,nature haina ubaguzi yeyote yule ni wake.Yaani kuna watu wanafanya vitu kwa kujiskia halafu yakiwakuta wanataka tuhuzunike wote.
alijua labda ataishi milele, ametunga misheria kibao ya kuumiza wananchi, utadhani aliagana na mungu kuwa atatawala mileleAlafu kashuka malaika MMOJA TU ndo kamtoa mzee kwenye uso wa dunia na kaiacha mitandao yote inafanya kazi kama kawaida! Kweli Mungu alisema tukiwazacho sie binadamu si sawa na yeye alivyopanga au anavyowaza...
Maisha yanaenda kasi sana, muda mchache na mambo ni mengi...
Yule alikua chini ya matakwa ya bwana yule kipindi hiki ilitakiwa aondolewe tuu maana lengo lao lilikua ni moja kuua Internet kabisaa bongo...Kama ni kiongozi hafaiiiiiii kabisa. Ni mtesi na asiye watakia watanzania mema !!!!
Kilichofanyika hapa ni kucheza na akili za watu tu.Wakati nchi za wenzetu hata bei ya mkate ikipanda, watu huungana kama Taifa na kuzipinga hata kwa maandamano yanayohatarisha maisha yao jambo ambalo ni adimu sana kwa nchi yetu kwani hatuna umoja na zaidi tumetawaliwa na ubinafsi.
Kwa mfano,serikali ilipopandisha makato ya Bodi ya Mikopo kutoka asilimia 8 mpaka 15 ya basic salary, kuna watu hawakujali na zaidi waliwakajeli wale waliokuwa wakilalamika kwa maneno ya kuudhi: acheni kulalamika, dawa ya deni kulipa, lipeni na wengine wasome,we ni CHADEMA,n.k.
Wasichojua Watanzania ni kuwa, watawala wameshagundua udhaifu wetu na ndio wanautumia kufanya wanayoyafanya.Kama tungeungana kama Taifa kupinga ongezeko la makato ya Bodi ya Mikopo na mambo mengineyo, sidhani kama leo wangefanya hichi walichokifanya hivyo watanzania tunsendelea kuvuna tulichopanda kwa miaka hii sita na bado tutavuna zaidi mpaka pale tutapoweka unafiki na ubinafsi pembeni.
Binafsi nimefurahi sana kwani ongezeko hili litagusa watu wengi na hivyo ule unafiki wa tusubiri mpaka mtu aguswe hautakuwepo na hili ndio funzo.
Naomba nimalize kwa kusema hivi:
Kama wewe uliunga mkono mtoto wa mwenzio kunyimwa mkopo kwa hoja alisoma shule za gharama,basi na wewe usilamikie ongezeko hili la vifurushi kama unamiliki smartphone ya malaki ya pesa.
What goes around,comes around.
CCM
Daktari wa tiba anapewa wizara ya mawasiliano, 90% ya yanayofanyika ndani ya wizara hiyo hayajui, zaidi ya kubariki maamuzi aletewayo baada ya watendaji wake 'kulishwa vizuri' na makampuni ya simu.MB 400 Zinauzwa kwa tsh 2000/_ wananchi tuungane katika hili tuhakikishe FAUSTINE NDUGULILE anapoteza kaz ya uwazir mama yetu n msikivu atatuelewa tu
Sijui wamefikiria nn baada ya kurahusisha huduma wao wameifanya kuwa ngumu intanet sio anasa Kuna wanafunz wanahtaj hi huduma pia ktka masomo yao
#NDUGULILE OUT
Lakini hili ni jaribio lingine la kufahamu mheshimiwa Rais ana uelekeo upi na maono yapi kwa watanzaniaWanaona pamoja na wingi wetu hatuna la kuwafanya wanajisahau sana kwamba na wao ni binadamu kama sisi,wanajiona wapo kwenye level ya juu ya ubinadamu kuliko sisi kama alivyokuwa anajiona huyo aliyeko mavumbini sasa.Mimi ndio maana naikubali sana nature,nature haina ubaguzi yeyote yule ni wake.
Ukiwaza hvyo watatumia hiyo kama weakness yetu kuwa tunawaogopa na wanauwezo wa kufanya chochote watakacho maana hakuna mwenye uwezo wa kuwapazia sauti.Kupaza sauti physically kunataka ujasiri sana especially kuvumilia virungu vya ugoko na mabomu ya machozi wakati wenzenu wametulia majumbani kwao wanawacheki kama sinemaπππ
Alaf unaambiwa unaweza kushare kifurushi na mtu mwingne. Hiv kwa vifurushi hvyo watu tutashea nin sasa?
wi-fi zinazo tumia maji au?
Hawaumii sababu wana survive kupitia mianya ya rushwa.Ukiwaza hvyo watatumia hiyo kama weakness yetu kuwa tunawaogopa na wanauwezo wa kufanya chochote watakacho maana hakuna mwenye uwezo wa kuwapazia sauti.
Na kwenye hili ata hao wapiga virungu nao wanaumia pia
Njia yenyewe ndio hio kupaza sauti physically, mimi nimeisha andaa kabango kangu hapa nasubiri wadau waniunge mkono twende had ofis za waziri husika ili ajue hatukubaliani naeππππSasa tufanyeje mkuu? Onyesha njia