๐ ๐ Basi minahisi nitakuwa napewa GB 100000 kwasiku maana nalala nayo naamka nayo, natembea nayo yaani nikiwasha simu tu naifungua na kuanza kutafuta wa kuwasimanga JF ijawaikuisha.Usijipe moyo sababu limit ya freebasics ni 50MB kwa siku! Ni ndani ya masaa machache utakuwa haupo hewani๐
Muasisi wa Upuuzi huuAbarikiwe shujaa wa Africa.
Kupigania haki sio kwamba hatuwezi ila linapokuja swala la mabomu ya machozi na virungu hapo ndipo shida inapoanzia.Huyu jamaa acha apumzike huko aliko. Bahati mbaya na waTz ni waoga hata kupigania haki zetu hatuwezi .
Odhis *
Una akili za kijinga ujue makapuni ya simu yatapata hasara hata kwa hivi vifuryshi kupanda baada ya kupandishiwa Kodi watumuaji watapungua, so think we'll kabla ya kushabikiaIkiwezekana GB 1 inunuliwe kwa sh 10K, Ili mitandaoni tubaki watu tunaojielewa. Maana vijana waliacha kufanya kazi kabisa, kijana wa BAVICHA akimiliki itel alafu akaweka bundle la 1000,ilikuwa ni kero sana maana wanachojua ni matusi tu na kufatilia umbea mitandaoni.
Unaitumia katika mtandao upi? Maana nachojua ipo Tigo na Voda ambako huoni picha hata moja ila Voda wamelimit kuwa hutumii zaidi ya 50MB per day๐๐ ๐ Basi minahisi nitakuwa napewa GB 100000 kwasiku maana nalala nayo naamka nayo, natembea nayo yaani nikiwasha simu tu naifungua na kuanza kutafuta wa kuwasimanga JF ijawaikuisha.
Kipigo maridhawa kabisa ๐๐๐Aisee vifurushi ni majanga kwakweli.. na hizo elfu 3 gb 1 ukicheki tu video peruzi page mbili tatu utaona ushatumia 90% ya bundle lako [emoji16]
Huo ndio ukweli na ndipo tunapfeli.Wakimalizana na sisi na wale, watakuja na kwenu pia.
Hakuna goti litaachwa kupigwa.
Leo tarehe 1/4/2021 makampuni ya simu yamefanya mabadiliko makubwa katika vifurushi vyao.
Wamepunguza vifurushi kwa kiasi kikubwa hasa vifurushi vya data, sitaweka hapa kifurushi kimoja baada ya kingine lkn kwenye mitandao yetu hilo lipo.
Nenda kwenye menu tu nadhani utakutana na upuuzi wote
Nini nataka kusema?
Wakati dunia inakimbia kwa kasi kwenye technolojia sisi tunajirudisha nyuma tena kwa kasi kubwa na wala hapa siyalaumu haya makampuni ya simu kwani yenyewe yanapokea tu order toka Serikalini.
Kama wananchi wa kawaida kabisa tunaiomba Serikali iweze badilisha hiv vifurushi haraka sana maana wanachokifanya ni kurudisha juhudi za maendeleo ya kisayansi nyuma.
Na kwa vile tuna Serikali mpya nina hakika watashughulikia hili haraka sana na wala hawatasubiri hadi mwezi upite maana kilichofanyika ni zaidi ya upuuzi wa hali ya juu.
Kama Serikali itashindwa rekebisha hili basi tutajua hamna mpango na wananchi wa kawaida na mengi mnayoyaongea ni porojo tu
Naomba kuwasilisha.
Lete habari mkuu kwema huko??sasa hata cjaelewa ina maana makampuni ndiyo yalilalamika kuwa yanapunjika na sio wananchi kuwa wanapunjwa!!??ila kwa akili zetu eti wanyonge acha tupewe za uso tu!!kwani watu wanapopiga kelee kutetea vitu wanaonekana wanatumika na sio wazalendo, huko tunakoelekea matumizi ya simu itakuwa kama DRC, naona wameanza kuwa airtime kivyake, na data ki vyake!!kule DRC, tsh.600 unapata mb 50 tu, kwa siku.kupiga simu ni ghari , ni mwendo wa voice note tu
Nchi zingine walifaulu Je ?!. Sisi hata katiba tu tumeshindwa.Kupigania haki sio kwamba hatuwezi ila linapokuja swala la mabomu ya machozi na virungu hapo ndipo shida inapoanzia.
Ila kama maandamano yangekuwa ya uhuru na haki basi watu wasingesita kupaza sauti.
Duh,kweli hii ni hatari sanaNaanzisha rasmi kampeni ya kuhakikisha tunapata Waziri mpya wa Teknolojia baada ya huyu aliyepo kushindwa kwa makusudi kudhibiti bei ya vifurushi mitandaoni .
View attachment 1741015
Ewe mwananchi ni jukumu lako tena la haki kuhakikisha viongozi wabovu wanang'oka kwa namna yoyote ile ili nchi yetu isonge mbele , Madaraka ni kama mbio za kupokezana vijiti , Ndugulile ameshindwa kuwasaidia wananchi hivyo ni vema akang'oka ama akang'olewa .
Mungu ibariki Tanzania .
Hawajui data ndio sehemu pekee mnyonge anapojipatia faraja. Ulevi wa bia tumehamishia katika Data na Internet na wengine ndio tunapata taarifa na michongo mbali mbali humu.Serekali inatengeneza tatizo alfu hao hao wanakuja kutatuaa ili kupat credibility ya kisiasa...waziri mzima kbsa yey ndio wakutufany ss mazombi kisa yey anauweza kuaccess data muda wote wkt wowte ...ajira hakuna Bado data Hakuna