Kwani kipimo cha akili ni kulalamikiaYou are so Dumb and foolish, huwezi hata elewa vitu vidogo sasa unaleta maswala sijui ya mitaji na kulipa kodi wakati tupo tunaongelea kuongezeka kwa running costs za mfanyabiashara anayetumia mitandao kupata pesa, halafu kingine Jf ni moja ya vitu vinavyoniingizia pesa wewe fara so sioni mantiki ya kuniambia nitoke Jf nikatafte hela. Anyway naweza kuwa najadiliana na ***** nmoja umekaa sebuleni kwa dada yako unasubiri bwana wenu akitoka kazini akupe hela ya bundle so huwezi kuelewa
Tumeamua kuminya like mnachokiita uhuru wa habari indirectly. Bora iwe hivi Ili vijana wafanye kazi, maana vitoto vilikuwa vikimliki tu itel vunakuwa vinaweka bando la buku, afu vinakuja kusumbua humu, na kutukana hovyo.Bora mitandao iwe ni kwaajili ya vibopa,maana huwa tunajielewa sana.
Asante sana serikali ya awamu ya sita😅.
Hakika leo umetema madini, tulitegemea huyu bi mkubwa atalegeza uzi kumbe kaja kuukaza kabisa.Wakati nchi za wenzetu hata bei ya mkate ikipanda, watu huungana kama Taifa na kupinga hata kwa maandamano yanayohatarisha maisha yao jambo ambalo ni adimu sana kwa nchi yetu kwani hatuna umoja na zaidi tumetawaliwa na unafiki na ubinafsi.
Kwa mfano, serikali ilipopandisha makato ya Bodi ya Mikopo kutoka asilimia 8 mpaka 15 ya basic salary, kuna watu hawakujali na zaidi waliwakajeli wale waliokuwa wakilalamika kwa maneno ya kuudhi: acheni kulalamika, dawa ya deni kulipa, lipeni na wengine wasome, kazi yenu kupinga kila kitu, n.k.
Wasichojua Watanzania ni kuwa, watawala wameshagundua udhaifu wetu na ndio wanautumia kufanya wanayoyafanya. Kama tungeungana kama Taifa kupinga ongezeko la makato ya Bodi ya Mikopo na mambo mengineyo, sidhani kama leo wangefanya hichi walichokifanya, hivyo watanzania tunaendelea kuvuna tulichopanda kwa miaka hii sita na bado tutavuna zaidi mpaka pale tutapoweka unafiki na ubinafsi pembeni.
Binafsi nimefurahi sana kwani ongezeko hili litagusa watu wengi na hivyo ule unafiki wa tusubiri mpaka mtu aguswe hautakuwepo na hili ndio funzo.
Naomba nimalize kwa kusema hivi:
Kama wewe uliunga mkono mtoto wa mwenzio kunyimwa mkopo kwa hoja alisoma shule za gharama, basi na wewe usilalamikie ongezeko hili la vifurushi kama unamiliki smartphone ya malaki ya pesa.
What goes around, comes around.
CCM oyeeee na hii ndio legacy ya Shujaa wa Africa- ukipenda boga, penda na ua lake.
Hakuna mtu anaweza kunilipia bando kwa maana matumizi yangu yanazidi laki kwa mwezi kwa line zanguTunazo taarifa za uhakika kwamba mnanunuliwa bando ili mtukane watu , sasa huo uongo kwamba uliwahi kununua umeutoa wapi ?
Wanapewa bando na hawafahamu hata bei yake.Utafikiri wanaishi nchi yao wenyewe.MATAGA hili ongezeko haliwahusu.
kwakweli,Mungu ni mwema sanaa
Narudia.mwendazake Kila siku iendayo kwa mungu tutajua alikuwa tatizo kwa nchi yetu tukufu.Hii ndio ilikuwa sera ya Magufuli katika akuhakikisha mitandao ya kijamii watu washindwe kuitumia, maana alishasema anatamani malaika washuke wafungie mitandao.
Unajuaje kama sio maamuzi ya wakubwa wake?Kama unapatikana huku nakushauri tu, usikurupuke siku nyingne na maagizo yako ya ovyo ambayo matokeo yake ni kusababisha maumivu kwa wananchi.
Keti chini na wadau hawa mfikie makubaliano na siyo kutoa matamko tu, wameamua sasa unawafanyaje? Jitokeze uite press utoe tamko tena![emoji854]
Keshasema wembe ni ule ule hivyo tusitarajie mabadiliko.L
Hakika leo umetema madini, tulitegemea huyu bi mkubwa atalegeza uzi kumbe kaja kuukaza kabisa.
Acha kiherehere, ninachokizungumzia ni swala la kila mbuzi kula kwa urefu wa kwamba yake,hayo mengine me Sitaki kuyajua.Una akili za kijinga ujue makapuni ya simu yatapata hasara hata kwa hivi vifuryshi kupanda baada ya kupandishiwa Kodi watumuaji watapungua, so think we'll kabla ya kushabikia
Kwani wewe unamchukia Ndugulile?
Kwani kipimo cha akili ni kulalamikia
bei kubwa za bando? Kwasababu wewe unalalamikia bando ndo unataka wote tulalamike?
Kimsingi kila mbuzi ale kuwa urefu wa kwamba yake.