Hata wanavyosema kuanzia std4 kushuka chini wasiruhusiwe kulala bweni,bado haitoshi. Inatakiwa wote kuanzia std7 kushuka chini. Bweni iwe kuanzia sekondari pekee. Hizi shule binafsi wanafanya haya kwa malengo ya kibiashara zaidi..Tena hata hiyo kwa kibali maalum iondolewe.ndio maana tunapata ma graduate wa ajabuajabu kwa kutelekeza malezi ya watt na kutegemea waalim watulelee watoto.
Mlanguzi bla shakaKwa Primary mpaka grade 4 walau inaeleweka,lakini baada ya hapo,kila mzazi achague njia anayoona ni sahihi kwake,ndiyo maana Serikali imeweka zuio mpaka grade 4 peke yake.
Wafute madarasa yote shule za.msingi kuwa bordingWizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia imekumbusha kuwa hairuhusiwi huduma ya bweni kutolewa kwa wanafunzi wa elimu ya awali na darasa la kwanza hadi la nne
Hivi hawa panya road ambao wengine wameishia tu darasa la pili ni Boarding Schools ndiyo zimewaharibu?Hao watoto wanaosoma sekondari nao wanakuwa wadogo sana kiasi chakuwa rahisi kuharibiwa...
Inawezekana zipo shule zenye umakini lakini zilizonyingi umakini ni mdogo sana kwenye malezi ya hawa watoto.
WalanguziHivi hawa panya road ambao wengine wameishia tu darasa la pili ni Boarding Schools ndiyo zimewaharibu?
Kwani mzazi kalazimishwa kupeleka boarding au ni kiherehere chake?Nadhani Sheria ya mtoto kutokukaa boarding iingaliwe upya siku hizi watoto huanza shule mapema darasa la tano anaingia akiwa na miaka kumi au kumi kasoro ukimpeleka boarding bado Ni mdogo sn kwa umri huo anatakiwa kuwa mikononi mwa wazazi,
Hata sijakuelewaMlanguzi bla shaka
Mkuu sorry lakini hueleweki.Walanguzi
Ni maamuzi yako binafsi na upo sahihi kabisa,lakini pia atakaepeleka mtoto wake boardimg pia yupo sahihi.Mi mwanangu primary sipeleki boarding hata Kama itakuwa bure sitathubutu,secondary Napo nitafikiria
Tamko hili lina mantiki maridhawa.Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia imekumbusha kuwa hairuhusiwi huduma ya bweni kutolewa kwa wanafunzi wa elimu ya awali na darasa la kwanza hadi la nne...
Analalamika utadhani huwa wanashikiwa bunduki kuwapeleka watoto boarding.Kwani mzazi kalazimishwa kupeleka boarding au ni kiherehere chake?
Huoni hapo pa 'kibali maalumu' ndiyo pameachia mwanya na watoto wa darasa la 4 wataendelea kukaa boarding?Tamko hili lina mantiki maridhawa.
Ni sahihi