Akuna Cha hijabu wala buibui.hawa waarabu wametuharibu sana. Wametufanya tuchukiane. Sasa mwenzetu dini gani inazidi kukua. Watanzania tupendane. Tusichukiane kwa sababu ya tofauti za kidini. Siamini kwamba kuna dini inayoweza kufikisha mtu mbinguni Kama matendo hayatoshi mbele za HAKI?kuna sehemu hakuna ukristo na kuna sehemu hakuna uislamu.mnataka kuniambia watu hawa wote hawatakuwa na mbingu kwa ajili ya dini au watahukumiwa kufuatana na matendo yao?vipi wale wa Kabla ya Urio wa Bwana Yesu? Vipi na wale wate waliokuwepo Kabla ya Muhammad ? Mungu atawapotezea tu? Take care, Love each other.