GoldDhahabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2023
- 7,189
- 10,375
ππππππNingependekeza kila anayemaliza form six (21) aende nje hata kwa miezi sita, mwaka mmoja kwa kudhaminiwa na serikali / vyuo.
Ingesaidia sana kuongeza exposure. Miaka 16 kila Mtanzania apewe passport, NIDA, kitambulisho cha kupiga kura.
Viongozi wengi hawana fikra za kijasiriamali. Kutoa passport ni faida kwa Serikali na wananchi.Shangaa serikali Yako.
Inatia ugumu upatikanaji wa passport ila kwenye mikataba fasta inatia Saini bila hata kufikiria.
Passport tu yaweza ongeza Pato kwa serikali just imagine raia milioni 15 waziombe na kupewa so Hela ndefu hio.
Umasikini sio sifa mkuu tupambane tuuondoeI'm proud of my country,japo hatupo exposed na hatuna elimu sana ila hua nakubaliana kua most of the times ignorance is bliss. Ujinga wetu ni faida sana kwetu.
Watanzania ni watu flani hivi maskini jeuri and I proud of that. Japo hatuna pesa ila hatushoboki Kwa watu,pia hatupendi kulia Lia njaa.
Hivi kwanini watanzania tunapenda kujidharau? Si kweli kwamba hatuna elimu. Elimu ya Tanzania inazidi nchi nyingi saana za hapa Africa. Hata kimataifa elimu ya Tanzania inakubalika na wakati mwingine kuna nchi zenye diaspora wengi lkn elimu za nchi zao hazikubaliki nje.I'm proud of my country,japo hatupo exposed na hatuna elimu sana ila hua nakubaliana kua most of the times ignorance is bliss. Ujinga wetu ni faida sana kwetu.
Watanzania ni watu flani hivi maskini jeuri and I proud of that. Japo hatuna pesa ila hatushoboki Kwa watu,pia hatupendi kulia Lia njaa.
Nakukatalia,waache ujinga kubana passport watu tuzurure dunianiWatz wengi kwa akili zetu fupi tunafikiri kuwa na diaspora wengi ndio mafanikio.
Ni kweli kuna changamoto katika taratibu za kutoka nje. Pia kuna shida na tabu nyingi ndani ya nchi hii, zikichangiwa zaidi na mfumo wetu wa kiutawala.
But all in all, we should thank God a thousand times for the way we are. Ukitaka kuelewa kidogo tu Tz tulivyo safi vuka border hapo Sirari uone maisha yalivyo tofauti kule utakakoingia, hata salamu utatamani uinunue.
Kuna watu humu juzikati nimeshangaa kuona wakiwasifia Somalia kwa kuwa na diaspora wengi, huku wakiwish nasi tuwe kama Somalia! Wonderful!
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]World Bank wametoa report inayoitwa 'Ratio of persons living abroad to origin country population' ambapo kwenye report hiyo Tanzania inapungufu ya asilimia moja ya raia wake wanaishi nje ya nchi.
View attachment 2667693
Asilimia hizo ni chache kuliko mataifa yote ya nchi za Africa.
Mind you, Tanzania ni nchi pekee yenye wazungumzaji wengi wa Kiswahili.
Je, huu uthibitisho kwamba Kiswahili hakivuki maji? Au ni kwamba watanzania wengi wana mapenzi na nchi yao?
Aseeee? Somalia na Eritrea wanaongea Lugha gani?Ukweli ni kuwa watz wengi hawaongei kiingereza fasaha sababu ya kusoma kwa Kiswahili. Nje kuna fursa nyingi tunazikosa na lugha inayotumika zaidi duniani ni English. Watawala wengi Wana roho mbaya hawataki watz kwenda kunufaika nje! Nchi inakosa remittance na kubaki maskini.
Solution ni kubadili lugha ya kufundishia kutoka Kiswahili kuwa English.
Watz wanapenda kwenda nje hasa vijana wasio na ajira ila Njia zote zimefungwa!
Kuliko kupoteza mda kutembeza bahasha bongo au kuwa bodaboda au machinga upate TB si Bora ukapate exposure njeNa nchi zinazoongoza ni zile zenye machafuko......
Middle east na ukanda wa Red sea, ndio zinaongoza hapo.
Unataka watanzania waondoke wanakimbia nini?
Hiki kipengele Cha enzi za ujamaa wangekitoaSasa hv hata ukienda uhamiaji kutafuta passport unaulizwa unakwenda nje kufanya nini!?
Passport ni gharama hata Ulaya hawapewi tuMtu anapozaliwa anapaswa kupewa cheti cha kuzaliwa na passport.
Ni haki ya msingi huwa wanapewa mapemaPassport ni gharama hata Ulaya hawapewi tu
Watanzania waoga sana, akili za kijamaa zimedumaza sana akili...leo hii Watanzania wanaamini Rwanda na Burundi bado kuna vita kwa hiyo hawathubutu kusafiri kutafuta fursa za biashara huko wakati Wakenya wamejazana huko wanapiga hela tuWorld Bank wametoa report inayoitwa 'Ratio of persons living abroad to origin country population' ambapo kwenye report hiyo Tanzania inapungufu ya asilimia moja ya raia wake wanaishi nje ya nchi.
View attachment 2667693
Asilimia hizo ni chache kuliko mataifa yote ya nchi za Africa.
Mind you, Tanzania ni nchi pekee yenye wazungumzaji wengi wa Kiswahili.
Je, huu uthibitisho kwamba Kiswahili hakivuki maji? Au ni kwamba watanzania wengi wana mapenzi na nchi yao?
Kama kichwa maji ni kichwa maji tu hata uende wapi.Kuliko kupoteza mda kutembeza bahasha bongo au kuwa bodaboda au machinga upate TB si Bora ukapate exposure nje
We umeenda kupiga hela mkuu?Watanzania waoga sana, akili za kijamaa zimedumaza sana akili...leo hii Watanzania wanaamini Rwanda na Burundi bado kuna vita kwa hiyo hawathubutu kusafiri kutafuta fursa za biashara huko wakati Wakenya wamejazana huko wanapiga hela tu
Hizo sababu zako hazina msingi, ni visingizio tuRoho mbaya ya utawala ndo kisa.
Passport tu kuipata mpaka uulizwe tupe letter mfano ya chuo unachoenda. Na chuo unachoomba hawakupi letter wanataka uwape passport number ili waandike letter. Sasa wangapi watatoka?
Chuo wanakuomba maombi yako ili wayafikirie wanataka barua ya TCU kwamba una qualify kusoma hicho ulichoomba, unakimbia TCU kuwaomba barua, wao TCU wanakwambia ili wakuandikie wanataka admission letter ya hicho chuo.
Ukiona watu hawana passport maana yake hawana pesa za kuchukua. Ila kwa mwaka jana kuna passport 136,000 zimeuzwaInawezekana pia ikawa inaongoza kwa raia wake wengi kutokuwa na passport.