TANZIA: Mama Mercy Mengi, ameaga dunia Afrika Kusini akiwa anapatiwa matibabu

Mkuu, mnaojua kila mkileta moja moja, ndo watu wanapata cha kwenda kusemea kijiweni.
Kwa hyo unataka kuwazuia watu wasiseme mama?
Basi zuia comments kwenye uzi huu.
We mwenyewe najua unabaki unashangaa tu kwa kuyajua ambayo ulikuwa huyajui hapo kabla mama
 
Kwa hyo unataka kuwazuia watu wasiseme mama?
Basi zuia comments kwenye uzi huu.
We mwenyewe najua unabaki unashangaa tu kwa kuyajua ambayo ulikuwa huyajui hapo kabla mama
Umekosea kuquote...angalia vizuri.
 
Kwa hyo unataka kuwazuia watu wasiseme mama?
Basi zuia comments kwenye uzi huu.
We mwenyewe najua unabaki unashangaa tu kwa kuyajua ambayo ulikuwa huyajui hapo kabla mama
I'm a gentleman...!
 
Mengi alimnyanyapaa acha apumzike, Mungu akupi vyote mengi ana pesa lakini hana hekima. Hatofautiani na Bwana jiwe.
Yani mtu akuwekee sumu af uwe na hekima nae?? Peleka kule...na kwa taarifa yako mengi alimpa share ipp...we huoni anavong'aa hapo....??
 
Asante. Kama unavyojua huyu Bwana alikuwa na Wake wawili... Nijuze ningeandikaje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…