Kwahiyo imethibitika hawa jamaa wameondoka na korona!?Kwani mazishi ya Haonga nayo yameshafanyika?, yaliyotangazwa yatafanyika leo saa nne asbh na kuhudhuriwa na watu wachache ni ya IT manager marehemu Kambangwa
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimecheka wallah...Corona sijui ni shetani gani. Yani ukiidharau hadharani na yenyewe inakutenda hadharani!
Haki ya Mungu.
Kawaulize wendawazimu wenzako huko.Wamfiche marine kama kafa na corona ili iweje?? Ana nini cha ziada?
Sent using Jamii Forums mobile app
.Kwani mazishi ya Haonga nayo yameshafanyika?, yaliyotangazwa yatafanyika leo saa nne asbh na kuhudhuriwa na watu wachache ni ya IT manager marehemu Kambangwa
Sent using Jamii Forums mobile app
Endelea kidogo mkuuMade in the mold of FOX NEWS-MSNBC journalists. Zealously pro-employer, tenacious enemy of objectivity.
The government turned to Lutengano Haonga whenever they needed an effective spinner to anchor coverages of controversial policy events such as inauguration of Stiegler's Hydropower Plant and the arrival of new planes for the national airline.
He followed his job description to the letter, a maestro of propagandist journalism. He will be missed by the state media, TBC, and by the administration at large. May he rest in peace.
Dah!...hii nchi kiboko aisee.Nchi hii kila mtu ni mtaalam wa afya, terrible!
Na wewe vile vile. Tena wewe ni mpuuzi haswa.
Tusi gani umeliona hapo?badilisheni basi aina ya tusi... hayo hayo tu...yanachosha ujuwe!
Sent using Jamii Forums mobile app
Hawakumpima.Wangempima wangeokoa wengi maana watu wangejianza kujitibu kabla Alveolis zao hazijaa maji.Wamfiche marine kama kafa na corona ili iweje?? Ana nini cha ziada?
Sent using Jamii Forums mobile app
Na bado wanaendelea kukaa kimya.Hawakumpima.Wangempima wangeokoa wengi maana watu wangejianza kujitibu kabla Alveolis zao hazijaa maji.
Pole sana ....Kawaulize wendawazimu wenzako huko.
Vic..Hawakumpima.Wangempima wangeokoa wengi maana watu wangejianza kujitibu kabla Alveolis zao hazijaa maji.
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]eti ambao hawana Yesu ndio watakufa.Walokole wajinga sana!
Leo nimekuwa na walokole flani, nikawaelezea wawe waangalifu.
Yakanijibu " ambao hawana Yesu ndio watakao kufa na korona"
Pumbavu kabisa! ndiyo maana walokole wanasemekana wamechanganyikiwa kidogo.
Sometimes bila evidence watu wanajiachia tu wanaongea. Kama wengine walitangazwa, yeye Marin asitangazwe kwa nini?Wamfiche marine kama kafa na corona ili iweje?? Ana nini cha ziada?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi kwa yeye kuwa na pumu ndiyo chanzo cha kushindwa kupata mtoto?Hizo ndo sababu zilifanya asipimwe Coronavirus. Ukizingatia alikuwa hajasafiri so walijua ni magonjwa aliyonanyo. Mind you that wenye underlying diseases wanakufa haraka sana.