Tazama ushahidi huu wa kimahesabu wa Michango ya Lissu Unaothibitisha CHADEMA haifikishi wanachama hata million Moja

Mmeumbuka ile mbaya na ma uongo yenu ya kupika matakiwmu ya kizushi na kitapeli.
Matokeo ya Uchaguzi wa 2020 nani alipika takwimu? Unapokuja na hoja kama hiyo jaribu kushirikisha akili yako, maana hata sisi tusioshabikia upande wowote tunajikuta kudharau hoja ya kipuuzi kama hiyo.

1. Aliyesema minimum ya mchango ni Tsh 1K ni nani?

2. Kama miongoni mwa walio changa wapo wanachama wa vyama vingine?

3. Mchango huo ni hiari, kwanin unafanya kama kulazimisha kuwa ni lazima kuchanga na ku set minimum amount ya mchango?

4. Hali ya uchumi kwa mtu mmoja mmoja ni mbaya sana, unapoona watu wanashindwa kuchangia hata hiyo 1K, elewa takwimu zinazotolewa kuhusu kipato cha watanzania kina walakini.

5. Tuambie methodology uliyotumia kuja na wastani wa Tsh 1K kwa kila mtu aliyechangia.

Pamoja na kuchukua uamuzi wa kuwa msifiaji tu, jitahidi kuwa na critical analysis ya kile unachosifia, umekuwa msifiaji hata kwenye maeneo ambayo yana mapungufu makubwa ya kiutendaji!

Kumbuka, haya unayoandika humu hayafutiki, siku moja utatamani yafutwe. Muda ni mwalimu mzuri sana.
 
Twende hoja kwa hoja.naomba uniambie kuwa CHADEMA ina wanachama hai wangapi? Maana Mimi nimethibitisha ki ahesabu kuwa CHADEMA Haina wanachama hai hata laki tano tu achilia mbali miilion moja?
 
Hujawahi kuwa na hoja wewe, wewe ni mpumbavu na Siku hao unaowashadadia watakapokugeuka ndio akili zitakurudia. Weka namba ya Simu tena!
Mwenye akili anajibu hoja kwa hoja ila asiye na akili ndio anatoa maneno kama yako
 
Jibu hoja huko CHADEMA mna pesa chafu ndio maana hamtaki kumchangia Lissu? Au umekurupuka tu kujibu hoja.
Wewe tangu umepakuliwa asali Yako baada kufungwa miezi 6 jela kwa kuuza sukari ya magendo akili hazijarudi mshukuru Sana yule diwani vinginevyo ungekuwa unapika na kutandika muda huu
 
KURA YANGU SIRI YANGU.
Silazimiki kumpigia kura baba au mama yangu hata kama tuko chama kimoja.
 
Chadema Sio Chama cha Mafisadi papa kama ilivyo CCM. Chadema ni chama cha wananchi wanyonge waliodhulumiwa na wakoloni weusi CCM. Huenda wanakosa elfu moja kuchangia lakini mioyo yao ipo na Chadema. Hicho kiwango chote kilichochangwa na wanachama wa Chadema kinaweza changwa na fisadi moja tu wa CCM πŸ€”
 
Kutoa ni moyo, usambe utajiri!
 
CHADEMA mmeshapuuzwa na Watanzania na ndio maana unaona hata michango inakwenda kwa kuchechemea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…