TBC: Mfanyakazi aliyesoma habari kuhusu Meli ya MV Mwanza amechukuliwa hatua

TBC: Mfanyakazi aliyesoma habari kuhusu Meli ya MV Mwanza amechukuliwa hatua

Yaani huo ndio uwezo wake wa uelewa, ni ajabu amepata ajira kwa uelewa huo, yawezekana sio Mtanzania
Yaaah uwezo wake mdogo sana..
Ukute alisoma taarifa lakini katika uwasilishaji wake kwa hadhira ni tatizo kiufupi hapo ni swala la kusoma na kuelewa tu
 
Ukiwa mwandishi wa habari, mtangazaji unatakiwa Kila sehemu uwe na uelewa mpana siasa, michezo, kinachoendelea duniani na matukio yanayo trend kwenye jamii sasa nashangaa wanahabari wa siku hizi yaani wako shallow sana.
 
wamemuonya ripota ila cha kushangaza na mtoa nidhamu badala ya kuandika 12 February 2024 mmeandika 12 February 2023. Ina maana bado hamjavuka mwaka? Yani bado mko nyuma ya majira? Haya ni matokeo ya kukimbilia kuandika vitu haraka haraka mnakosa hata muda wa kuedit.

434389955_7401612466597048_5365932123393904984_n.jpg
 
K
wamemuuliza kwanza huenda akawa anamatatizo yakisaikolojia au alipitiwa sisi ni binadamu hali kubadirika muda wowote!
Katika utangazaji hata ukifanya presentation za juu ,jaribu kuwa na script sana maana kuna emotions fulani hivi ukileta manjonjo lazima utashangaa unatoka nje ya mda .

Ipo hivi hata viongozi wanaandaliwa scripts ya vitu vya kusoma ,wengi hawagundui hili ndio maana watangazaji mahiri hawana maneno mengi.

Huyu alichupa mipaka kwa kuleta ufundi ,hata yeye anajua kataja vitu havipo..Utangazaji una taratibu zake unapokuwa on air kuna emotions fulani ukileta ufundi utaongea vitu havipo .

Ndio maana kuna sheria za interview, kutangaza ,kutoa speech mbalimbali ,ukienda kinyume utapata aibu utaongea vitu havipo.
 
Back
Top Bottom