Team “Kataa ndoa” wapuuzwe, hawana maadili, ndoa iheshimiwe na watu wote

huna baya ukifa hauozi
 
Mnawapa kichwa kwa kuwaanzishia nyuzi watu wa aina hiyo , mtu huwezi kuwa sawa na mzima halafu ukawa unasapoti huo ujinga wa kataa ndoa.
Tuwaonye mkuu
 
Kuzaliana sio lazima ndoa,halafu acha kujipa umuhimu kwenye maisha ya wtu wengine usio walusha wala kuwavisha,ukioa wewe inatosha,shenzi.
 
Ndugu mleta uzi Papa Fransis hana mke na anaiongoza sehemu kubwa ya hii dunia, jambo la kwanza ndoa sio kipimo cha uwezo wa kiuongozi.

Kwanini tuna KATAA NDOA zipo sababu nyingi ila wewe jua tu bado tupo na kampeni moja tu ya KATAA NDOA
Huwa unapolea wap au sheria mkononi 😂😂
 
Ujana maji ya moto.. Waache kwanza wajichetue ni wakati wao
 
Good!
 
Ndugu mleta mada kabla hujaleta makasiriko hapa ulitakiwa kutulia kwanza uandike fact zinazoeleweka
1. Uongozi bila mke. papa anaongoza maelfu ya wakatoliki na hajawahi kuoa hivyo hoja yako hii haina mashiko
2. Familia. Sisi KATAA NDOA hatukatai familia ila hatutaki kukaa kifungoni na mtu( mwanamke) kwa kivuli cha NDOA. na wengine familia tunazo ila wake hatuna
Kufunga ndoa na mtu ni kukubali kujinyima raha wewe ili mwenzako afurahi ujinga mtupu.
KATAA NDOA, NI UTAPELI NA ULAGHAI, ISHI KWA FURAHA BILA KUFUNGAMANA NA YEYOTE
 
Mitano tena mwenyekiti umeupiga mwingi sana kumuelewesha huyu mtoa mada. KATAA NDOA
 
waache waache
Wajinga Ndiyo wanaoliwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…