Team “Kataa ndoa” wapuuzwe, hawana maadili, ndoa iheshimiwe na watu wote

Nimependa tutumie familia yako maana mtoto umleavyo ndivyo akuavyo!! Je ukipata mtoto wa kike utamfundisha akatae ndoa agawe wastani kwa idadi??

Kama hauwezi basi si vyema ukafanya hivyo
 
Hiki chama cha "kataa ndoa " basi tukifute na wanachama wote turudishe kadi
Mkuu sisi wala hatuna kelele tumetulia tu na misimamo yetu, sasa hawa ndugu zetu waliooa kutwakucha kufungua nyuzi kuwahusu kataa ndoa na kuleta visa vyao vinavyoonyesha jinsi ndoa zilivyo chungu na ubaya ni kwamba hawana fact zaidi ya kutuita mashoga
 
Tafuta na umshirikishe Mungu, Tatizo wengi humu wanatafuta mke Kitambaa cheupe /wavuvi kempu /warehouse /kidimbwi /mtandaoni halafu yakiwakuta wanalia
Wanatakiwa watafute wapi
 
Nimependa tutumie familia yako maana mtoto umleavyo ndivyo akuavyo!! Je ukipata mtoto wa kike utamfundisha akatae ndoa agawe wastani kwa idadi??

Kama hauwezi basi si vyema ukafanya hivyo
Kugawa wastani kwa idadi , inatokea hata kama ndoa ipo .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…