Tetesi: TEC haifurahishwi na mwenendo wa Serikali kuhusu makubaliano ya bandari na DP World

Huyo lazima atakuwa ni "Mhashamu" Dr Slaa, aliyeweza kulikwepa Kanisa hadi kidogo awe Askofu kumbe ni fusika likubwa. Si unamuona anavyotoa mapovu leo kuomba tumehuru baada ya kuwahadaa Sweden? Ni pressure ya familia bubu watakula nini? Kanisa Katoliki ndiyo kikwazo kikubwa kwa Wasaliti tangu enzi za Tume ya Wairoba. Jiulize: Rais alipoenda Moshi juzi kwa BAWATA kwa nini hukuona Askofu RC badala yake alikuwepo Askofu wa CHADEMA wa siku zote?
 
Wapo walio kwenye mfungo kuzuia bandari kupigwa mnada.
 
Kanisa Katoliki, halina mamlaka ya kuendesha Serikali, labda kutoa ushauri tu. Ushauri unaweza pokelea na kufanyiwa kazi au la.
 
Bring it On💪🏿
 

Duru ndani ya TEC zinaarifu kwamba Viongozi wa Kanisa Katoliki hawafurahishwi na namna Serikali ilivyokubaliana na DP Word kuhusu usimamizi wa bandari yetu/zetu.
Kha! Wapumbavu sana hao, wanadhani Serikali ipo kwa ajili ya kufurahisha wao.
 
Watoe tu waraka kwa kweli, hawa ndio wenye nguvu. Waarabu wanatake over kila eneo, Katoliki lazima muwe mbogo, ili wanyonge na sisi tuponee humo.
 
KUNAKUCHA
 
Uzuri wa viongozi wa Roman Catholic walifundishwa maadili nabkukisoa kwa adabu pasipo kuropoka wala kutweza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…