TEC ivunjwe imekiuka miiko ya Kikatoliki kwa kushindwa kueneza upendo kwa wote

kwanini usiwe wewe padre uchukue nafasi ya kitima... Kutima aondoke tu aje mtaani wewe uwe padre ukafanye PhD chap tu uwe katibu wetu...
 
TEC ni taasisi imara na imesimama kwenye kweli shida ni kuwa Watanzania wengi wanauwezo mdogo wa kufikiri(low IQ). Mtu akinufaika na kamfumo fulani hawazi future ya taifa lake hii ni hatari sana. Utendaji na uwajibikaji wa serikali yetu upo chini ya kiwango sana. Tunahitaji taasisi imara nyingi za dini, kijamii nk. Kuikosoa serikali ili iwajibike na kutenda haki
 
Mimi Mkatoliki, sipendi kuona kanisa likiburuzwa kwa maslahi ya Father mmoja tu wakati uwepo wake unategemea sadaka za mamilioni ya waumini kutoka vyama mbalimbali.
Ila unapenda watawala wanavyoua watanzania, ila unapenda watu kutekwa, ila unapenda wizi wa kura,

Kasome Issya 54.14 utadhibitika katika #HAKI utakua mbali na kuonewa
 
TEC , inakosa wasomi , Elimu na degree za theology bado ni ELIMU ndogo Sana

Nadhani either iwepo taasisi inayoweza kuwahudumia watza na kuwaunganisha watz wote na sio TEC.
Baada ya kuwatapeli watu humu jukwaani, eti leo umekuwa mshauri! Wewe jamaa uwe na aibu hata kidogo basi!
Hannah, Joanah, huyu mtu wenu vipi huku?
 
Unadhani TEC ni mburula mburula kama magaidi wenzako waliokisimika madarakani?

Unadhani TEC ni wateule wa Ikulu ya Tunguu?
 
TEC Wameshusha hadhi ya upadri sahzi wote wapo kama Askofu mwanamapinduzi🤣
Mnachokifanya waislamu humu JF kukashifu Ukristo hata Sisi tunakiweza na ni Mafundi hasa. Msidhani hatuwezi kuwachamba viongozi wenu. Mnapewa 500 Mia tano mtukane viongozi wa Kikristo mkidhani mnamlinda Huyo aliyewatuma?
 
Wewe kumbe nilikua sijakuignore
 
Abdul na wewe ni mkatoliki mara hii
 
Hapo umeandika Mkatoliki Mwenzetu alafu kwenye thread zingine comments zako unajionesha sio Mkatoliki.

Acha kutumika kama TOILET PAPER
!

 
Weka ushahidi , hapa wa aliyeibiwa

Narudia tena hao TEC sio taasisi sahihi ya kusimama na watz.
Kama hakuna aliyetapeliwa, basi ni jambo la kushukuru. Kwa sababu ule mwenendo wako ulikuwa unaleta mashaka mengi! ID zaidi ya 10! Mjomba uliweza vipi kuwa na ID zote zile!!!!
 
Kama hakuna aliyetapeliwa, basi ni jambo la kushukuru. Kwa sababu ule mwenendo wako ulikuwa unaleta mashaka mengi! ID zaidi ya 10! Mjomba uliweza vipi kuwa na ID zote zile!!!!


Hii inaitwa Matrix ya ufahamu

Hautafuti ukweli Ila unaambiwa huu ndo ukweli .

Sasa watu Kama wewe unaoamini UONGO unaweza ukawa na ufahamu wowote kuhusu SIASA za nchi zaidi ya kufata UPEPO .!

N.B We don't play these types of games

Im the guy wiyh strict code.
 
Yule mdada aliyafukua makaburi yako yote, na aliweka na ushahidi wa namba yako ya simu, na ID's zote ulizotumia! Halafu unasema ni uongo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…