NoreformNoelection
JF-Expert Member
- Jan 29, 2025
- 1,390
- 1,446
Israeli walifikiri Iran ni sawa na Lebanon au Gaza. Kwa kile kichapo walichokipata itawachukua muda mrefu sana kuamini ilikuwaje wakapigika hivyo.Duru zibasemaje kuhusu kichapo cha sku 12 mfululizo walichochexea mazayuni?
Wanasema KAMAA TUDUNI TUDANI.Boss ana shida gani? akichek financial statement ana profit ya kutosha hana loss,
Mwarabu pekee anaulevi na mpira sio mhindi wetu,, Kutawala kwa Yanga ni vile Simba tumepunguza budget ya usajili, mmesahau ya aziz ki? Aucho? wote walikuwa mali ya simba ni vile mkono mfupi umetuangusha, ile Yanga ya Bakuli ishafekwa,, hii ya sasa yenye umafia itatutesa sana simba,,
mie nishakubali Yanga bingwa 2025/2026,
Unataka ubingwa unakwepa gharama?kuwapata ni Gharama,
Sibezi mkuu, nakwambia ukweli wa mbeleniHapa hujaandila kimpira mtaalam, soma tena hii comment nadhani umeandika haraka haraka sana kuhusu ibenge, ni sahihi Azam ina shida kibao kutokana na figisu za yanga na SIMBA ila usibeze
Baada ya fadlu kuingilia kati 😂..Kuna vitu vingine ni vinatia hasira na aibu sana ...hata kocha atakua anashangaa sana...napendekeza Sasa sajili na negotiations zote afanye fadlu Sasa....Balla Moussa Conte ni mnyama
Fadlu aliacha maandiko akaondoka. Hakuna kingine anafanya, hana pochiBaada ya fadlu kuingilia kati 😂..Kuna vitu vingine ni vinatia hasira na aibu sana ...hata kocha atakua anashangaa sana...napendekeza Sasa sajili na negotiations zote afanye fadlu Sasa....
Yule ecua angetua kwetu sema ni uzembe tu pumbavu ..ila jamaa naona kajitambulisha mwenyewe kabisa 😂😂 yawezekana anaipenda yanga zaidi...Koulibaly alikua nchini mnampa hela mbuzi aise na Tajir alisema mleteni yoyote anasajili na tuliitaji beki la kutoa kafara kabisa mana fondoh anaondoka..
Sasa kama wajinga wanazitoa tuu kwa nini asibebeIla chama ananifurahishaga sana...anajiokotea mipesa tu...saiv kaenda kuchota za bakheresa...
Ishu sio pochi ...ishu ni kua aggressive kwenye negotiations mjomba ...fadlu aliingilia kati na alimpigia simu wakala wa mchezaji kabisa ...kwani huyo ecua si ni uzembe tu umefanyika...na ilihali tunaitaji straika ..unaleta wachezaj wa Cameroon wenye vitambi ...hersi anapandaga ndege anaenda Hadi kwa mzazi wa mchezaji ...fanya mchezo...utamuwezea wapi mtu wa namna hio...Fadlu aliacha maandiko akaondoka. Hakuna kingine anafanya, hana pochi
😂 Pesa ipo..abaki bongo kabisa awale wadada Wazuri wa kibongoSasa kama wajinga wanazitoa tuu kwa nini asibebe
Sawa. Endelea kudanganyanaIshu sio pochi ...ishu ni kua aggressive kwenye negotiations mjomba ...fadlu aliingilia kati na alimpigia simu wakala wa mchezaji kabisa ...kwani huyo ecua si ni uzembe tu umefanyika...na ilihali tunaitaji straika ..unaleta wachezaj wa Cameroon wenye vitambi ...hersi anapandaga ndege anaenda Hadi kwa mzazi wa mchezaji ...fanya mchezo...utamuwezea wapi mtu wa namna hio...
🤣Ishu sio pochi ...ishu ni kua aggressive kwenye negotiations mjomba ...fadlu aliingilia kati na alimpigia simu wakala wa mchezaji kabisa ...kwani huyo ecua si ni uzembe tu umefanyika...na ilihali tunaitaji straika ..unaleta wachezaj wa Cameroon wenye vitambi ...hersi anapandaga ndege anaenda Hadi kwa mzazi wa mchezaji ...fanya mchezo...utamuwezea wapi mtu wa namna hio...
Huyu mchezaji price yake ni $500,000.Balla Moussa Conte ni mnyama
Ishu sio kudanganyana mjomba , we have to be serious ...hatuko serious kabisa ukichanganya na upigaji humo humo usanii, kuchomana, ..yetu macho....Sawa. Endelea kudanganyana
Wameweza kutoa pesa hio tena kwa fadlu kuwavimbia tena kw kuwaambia waziwazi waache usengeh .. ila kwa coulibaly wameshindwa ..acha ituue tu hii timu yetu.Huyu mchezaji price yake ni $500,000.
Baadae ilipanda mpk karibu na $600,000.
So ni zaidi ya billion 1,400,000,000/=
Kama kweli kanunuliwa
Ni pesa nyingi sana. Tena ni kiungo ukambaji.
Daaa ingekuwa vyema hio pesa wangemtafuta technical winger kama kina Louis( konde boy).
Wapo unawapata tuu.
Sema tu ni pendekezo la kocha maana timu ikifanya vibaya ili kocha asilalamike.
fei hana moyo wa upambanaji. Ni mwepesi wa hasira,mwepesi kuridhika,mtu wa show off na mwepesi pia wa kukata tamaa.Anayeweza muweka bench pale Yanga Feisal eneo la kiungo ni Aucho tu ila Mudathir, Abuya wote wanaweza kabisa kukaa benchi mbele ya Feisal. Yule dogo usimchukulie simple mzee.
Mkuu halafu ikifika mwishoni mwa msimu viongozi hao hao wazembe wanaanza kumlaumu kocha kwa matokeo mabovu wakati hajapewa rasilimali watu aliowahitaji.Fadlu aliacha maandiko akaondoka. Hakuna kingine anafanya, hana pochi
Ila ni pesa nyingi sana.Wameweza kutoa pesa hio tena kwa fadlu kuwavimbia tena kw kuwaambia waziwazi waache usengeh .. ila kwa coulibaly wameshindwa ..acha ituue tu hii timu yetu.
Ukuta wa Jericho.Thank you Fondoh Malone