Tetesi: Tetesi za usajili wa dirisha kubwa ligi kuu Tanzania bara 2025/2026

Simba inakatisha tamaa,Azam ingekuwa inafanya vizuri ningeshabikia Azam kupoteza machungu,huu usajili unaonyesha tu simba bado sana hata msimu ujao.
mashabiki tunaendelea kujitambua, shukrani kwa kulitambua hilo,
ni vile wao wanaingiza pesa ndio maana machungu hawayapati kama sie,
ila pale watakapoanza kupata Hasara ndio akili zitawarudi.
kwa sasa yetu macho tu,, itafika hatua hata kwenda uwanjan tutaacha au simba day wakaenda wachache,,

hapa kikubwa tusiweke matarajio makubwa ili tusiumie zaidi.
 
Huyu wakala wa zimbwe anawajaza tu upepo Simba mchezaji wake aongezewe mpunga..... Hamna lolote....



Sema huku kwetu Kila mtu anaamua tu kua journalist wa michezo na anapata wafuasi, ulaya Kuna makundi ya journalists.... Top tier 1 kama kina romano, Duncan etc.... Hawezi leta habari kama Hana 100% nayo, na wanatumia pesa nyingi kuwalipa mawakala wa wachezaji na machawa wa timu ambao wako jikoni kabisa ila waweze kupata habari za uhakika , ukibugi tu habari Moja ya uongo watu wanaachana na wewe, huku kwetu mtu anampost celestine Ecua yupo na jezi ya Simba anasema it's a done deal, baada ya siku mbili anampost tena anasema yanga washamaliza nae, na Bado watu wanaendelea kumfatilia, stupid!
 
Huyo Conte ameangalia pale Yanga akakuta kuna Watu na Nusu atasugua kwenye mbao. Hivyo akaamua akubali kutua kwa Wana Lunyasi.
 
Aah
😅😅😅 au basi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…