Tetesi: Tetesi za usajili wa dirisha kubwa ligi kuu Tanzania bara 2025/2026

Wewe ni shabiki wa Simba wala huna habari za uhakika
Uko hapa kuipamba Simba
Kama unasema endapo FEI akiuzwa Simba Yanga hatavuna 1b
Hapo ndo nimekudharau kabisa
Mapovu..unataka aseme habari zinazokufurahisha...shida akisema mnamkatalia..halafu anawapa ushahidi
 
Reactions: K11
Sasa Aucho bora sababu ya kufunga goli kwenye mechi moja? Kwa hiyo sababu ya assist Kagoma ni bora kuliko Conte?

Wewe sijui unatumia akili gani kuuchambua mpira?

Magoli sio criteria ya kupima ubora wa defense midfilder. Ni wekee hapa kapora mipira mingapi, anatackling ngapi, kapiga key pass ngapi za kuanzisha mashambulizi, je anaisaidia vipi beki yake ikiwa haina,anaisaidia vipi timu ikiwa inampira na wakati haina mpira.

Kuna uwezekano hata kipa mtampima kwa magoli, ukilizwa utasema mbona msimu uliopita kipa wa Liverpool alifunga goal kwa kichwa.
 
Sasa Aucho bora sababu ya kufunga goli kwenye mechi moja? Kwa hiyo sababu ya assist Kagoma ni bora kuliko Conte?

Wewe sijui unatumia akili gani kuuchambua mpira?
Hapa hakuna excuses zenye mashiko kutetea aina hii ya uzembe

Nacho maanisha ukimtoa kipa, wachezaji wote wa ndani wanaobaki bila kuangalia nafasi zao wanazocheza ila hakuna atayecheza mechi 55 asitoke na assist wala goli.
 
Hapa hakuna excuses zenye mashiko kutetea aina hii ya uzembe

Nacho maanisha ukimtoa kipa, wachezaji wote wa ndani wanaobaki bila kuangalia nafasi zao wanazocheza ila hakuna atayecheza mechi 55 asitoke na assist wala goli.
Magoli sio criteria ya kupima ubora wa defense midfilder. Ni wekee hapa kapora mipira mingapi, anatackling ngapi, kapiga key pass ngapi za kuanzisha mashambulizi, je anaisaidia vipi beki yake ikiwa haina,anaisaidia vipi timu ikiwa inampira na wakati haina mpira.

Sikumbuki mara ya Mwisho Kante kufunga ni lini, sikumbuki Sergio Busquets kufunga ni lini but ni moja ya viungo bora wakabaji katika miaka ya hivi karibuni.

Utachekwa ukiongea ushubwada wa kumpima kiungo mkabaji na idadi ya magoli, sasa tufanye anafunga halafu kazi yake ya msingi haifanyi unategemea kwenye timu kitakokea nini?

Nyie wengine mnatizama mpira ila sizani kama mnauelewa.
 
Aucho na Kagoma wanajulikana na wote ni wazuri,huyo Conte mmemwona wapi?mechi moja au youtube? Mi naona mnabishana kwa ajili ya mtu ambaye hata hamjamwona vizuri,ligi ianze tumwone
 
Aucho na Kagoma wanajulikana na wote ni wazuri,huyo Conte mmemwona wapi?mechi moja au youtube? Mi naona mnabishana kwa ajili ya mtu ambaye hata hamjamwona vizuri,ligi ianze tumwone
Umesoma comment yangu ya kwanza kabisa kabla sijaanza kubishana na huyu mwenzako?Nalijua hilo vizuri sikumtaja Conte humu.Comment yangu ya kwanza iliyo zua huu mjadala ni hiyo kwenye mabano.Sasa wakumuuliza huyo mwenzio anayepima uwezo wa DM kwa magoli?

("Kuna watu humu wanabishana kwa wachezaji ambao hawaja waona wakicheza.")
 
Simba msimu huu watatoka bila kombe tena.
Naipenda sana Simba lakini ni ukweli mchungu unaousema... kwa mateso tunayopitia kila msimu mpaka nione kombe ndio nitaamini kama tumesajili vizuri. Karibia ni msimu wa tatu sasa Mashabiki wa simba tunafurahia wakati wa usajili lakini mambo yanageuka mwisho wa msimu.
 
Huyo mbumbumbu wa Rage Huwa ana samadi kichwani
 
Mkuu msimu huu , yanga wamepata pont 3 ambazo sio halali Ile mechi ya Darby ya kwanza dhidi ya Simba.

Hivyo inajulikana.

Ila kwa Simba ni point zaidi ya 3 zipo mechi kama shida ya pamba jiji Ile ya kwanza, singida Ile mechi ya 2, mashujaa mechi zote mbili Hilo liko wazi kabisa.

Madhaifu ya yanga yalikuwa beki wa kulia na kutengeneza mashambuli kupitia katikati. Ambayo wamejaribu kuyasolve.
 
Kawalete kama ni rahisi kama unavyofikiri
Yani unasema ni uzushi kwamba hawatakuja mkuu?

Ishu ni makubaliano tuu kati ya mamelod Yani ada ya mkopo,
Na mchezaji mwenyewe kuwa utamlipa kiasi gani. Basi yakitimia hayo wanakuja ishu si pesa tuu au?
 
Kiungo mkabaji kufunga inategemeana na kocha anavyomseti na style ya uchezaji wa mchezaji mwenyewe.
Ila kwa balla conte yule ni pure 6.

Lilikuwa ni chaguo la kwanza la kocha fadlu. Hilo lipo wazi.
Alipambana sana kumpata sema alikosa ushilikiano mzuri kutoka kwa viongozi wa simba.
 
Mpira wa kisasa hakuna mchezaji ambae anajukumu la kukaba pekeake au kushanbulia pekeake, kukaba kutengeneza kufunga ilo ni jukumu la kila mchezaji uwanjani, pengine kama unazungumzia mpira wa miaka iyo sio sasa,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…