DUBULIHASA
JF-Expert Member
- Nov 26, 2016
- 6,138
- 11,989
Kwa mambo yalivyotokea ni rahisi zaidi Fei kwenda Simba kuliko yanga..Feisal hawezi kucheza Simba
Hii haipo
Sawa ila cha kwanza lazima utimize majukumu yako ya msingi,then hivyo vingine ni added wewe defense midfilder ni kukaba ni first task yako ,ukifunga huku utimizi majukumu yako hufai kwenye timu.Mpira wa kisasa hakuna mchezaji ambae anajukumu la kukaba pekeake au kushanbulia pekeake, kukaba kutengeneza kufunga ilo ni jukumu la kila mchezaji uwanjani, pengine kama unazungumzia mpira wa miaka iyo sio sasa,
Nuno mendes vs ChelseaMpira wa kisasa hakuna mchezaji ambae anajukumu la kukaba pekeake au kushanbulia pekeake, kukaba kutengeneza kufunga ilo ni jukumu la kila mchezaji uwanjani, pengine kama unazungumzia mpira wa miaka iyo sio sasa,
Yalimkuta Nuno mendes hayo kwenye mechi dhidi ya Chelsea.Sawa ila cha kwanza lazima utimize majukumu yako ya msingi,then hivyo vingine ni added wewe defense midfilder ni kukaba ni first task yako ,ukifunga huku utimizi majukumu yako hufai kwenye timu.
Kupitia vyanzo vya Sofascore, FBref, na FootyStats nimejaribu kuangalia stats za Busquets katika mechi 27 yani nusu ya mechi alizocheza Balla Conte. Hapa sijataka kwenda mechi 55 kufanya uwiano sawa.Magoli sio criteria ya kupima ubora wa defense midfilder. Ni wekee hapa kapora mipira mingapi, anatackling ngapi, kapiga key pass ngapi za kuanzisha mashambulizi, je anaisaidia vipi beki yake ikiwa haina,anaisaidia vipi timu ikiwa inampira na wakati haina mpira.
Sikumbuki mara ya Mwisho Kante kufunga ni lini, sikumbuki Sergio Busquets kufunga ni lini but ni moja ya viungo bora wakabaji katika miaka ya hivi karibuni.
Utachekwa ukiongea ushubwada wa kumpima kiungo mkabaji na idadi ya magoli, sasa tufanye anafunga halafu kazi yake ya msingi haifanyi unategemea kwenye timu kitakokea nini?
Nyie wengine mnatizama mpira ila sizani kama mnauelewa.
| Mechi | Tarehe | Mashindano | Assist |
|---|---|---|---|
| vs D.C. United | May 18 | MLS | 1 |
| vs Atlanta United | May 29 | MLS | 1 |
| vs Monterrey | Apr 11 | CONCACAF Champions | 1 |
Alfu Lela U lela zingatia hii comment, tena huu mfano mzuri sana kutoka Record Man japo hakufunga, ila alikuwa anapandisha mashambulizi kilicho mkuta goli zote mbili zimetokea upande wake.Yalimkuta Nuno mendes hayo kwenye mechi dhidi ya Chelsea.
Anapanda kama wing..
Mkuu huwa unanikera sana lakini ni ukweli mchungu... kwenye usajili huwa tunakuwa na furaha kuliko yanga lakini mwishoni plot ina twist.Wapi Steven Mukwala, Lionel Ateba na Joshua Mutale (Budo)? Mashabiki wa simba nyakati hizi za usajili huwa mnajaa sana upepo kupitia hizi tetesi.
Inawezekana tuna uelewa wa mpira tofauti.Kupitia vyanzo vya Sofascore, FBref, na FootyStats nimejaribu kuangalia stats za Busquets katika mechi 27 yani nusu ya mechi alizocheza Balla Conte. Hapa sijataka kwenda mechi 55 kufanya uwiano sawa.
Mechi Tarehe Mashindano Assist vs D.C. United May 18 MLS 1 vs Atlanta United May 29 MLS 1 vs Monterrey Apr 11 CONCACAF Champions 1
Tafiti zinaonesha Busquets hakupata goli lolote kwenye mechi 27 ila alifanikiwa kupata assist 3.
Niliporudi kwa Ngolo Kante naye kwenye mechi 27 alikuwa na goli 4 pamoja na assist 3
Mechi Ambazo Alipata Magoli
- vs Al-Riyadh – 1 goli
- vs Al-Ettifaq – 1 goli
- vs Al-Qadsiah – 1 goli
- vs Al-Orobah – 1 goli
Mechi Ambazo Alitoa Assist
Kwa hiyo bado hujani convince nikashawishika na hoja zako kufafanua kwanini kitendo cha mechi 55 kwa mchezaji wa ndani kutokuwa na goli wala assist isiwe uzembe?
- vs Al Kholood – 1 assist
- vs Al-Hilal – 1 assist
- vs Belgium (UEFA Nations League) – 1 assist
Watu wanajaribu tu kutafuta justifications tu lakini hata wao wanajua wakivaa jezi wacheze kwenye hiyo nafasi hawawezi kumaliza games 55 wakatoka kapa bila hata assist 1.Mpira wa kisasa hakuna mchezaji ambae anajukumu la kukaba pekeake au kushanbulia pekeake, kukaba kutengeneza kufunga ilo ni jukumu la kila mchezaji uwanjani, pengine kama unazungumzia mpira wa miaka iyo sio sasa,
Katika huo uelewa wako ulikuwa unaenda sawa kwa kunipa references za baadhi ya wachezaji ili kunifaamisha uelewa wako upo legit.Inawezekana tuna uelewa wa mpira tofauti.
Fact ipi ,kwani main Responsibility ya DM ni ipi?Katika huo uelewa wako ulikuwa unaenda sawa kwa kunipa references za baadhi ya wachezaji ili kunifaamisha uelewa wako upo legit.
Fact inapingwa kwa fact na ndio maana nime dispute claims zako kwa kuonesha numbers za hao wachezaji kwenye michezo 27 yani nusu ya kile alichokifanya Balla Conte.
Mendez ndie mlinzi bora wa pembeni upande wa kushoto kwasasa, anauwezo mkubwa wa kukaba na kushambulia, kilichotokea kwenye ile mechi ndo huwa tunasema mpira uheshimiwe, muundo wao wa kiulinz kiujumla psg ndo uliwahukumu hakukuwa na mchezaji aliekuwa na cover nafasi kwa wakati ule upande wa kushoto matokeo yake Chelsea walikua free kupita, lakini kaangalie kile alichokua anakifanya mendez huwa anakifanya kila mechiAlfu Lela U lela zingatia hii comment, tena huu mfano mzuri sana kutoka Record Man japo hakufunga, ila alikuwa anapandisha mashambulizi kilicho mkuta goli zote mbili zimetokea upande wake.
Main responsibility sio mchongo kwenye modern footballFact ipi main Responsibility ya DM ni ipi?
Pole sana Comrade kama ninakukera sana. Na nimependa umekuwa muwazi, na pia hujanitukana. Ila mara nyingi mimi ni mtu wa utani tu na kufurahisha genge. Usiyachukulie maoni yangu kwa uzito mkubwa.Mkuu huwa unanikera sana lakini ni ukweli mchungu... kwenye usajili huwa tunakuwa na furaha kuliko yanga lakini mwishoni plot ina twist.
Mkuu huyo jamaa hata akiwa Simba sio dhambi mbona wewe umeonyesha mapenzi na yanga na unasema Fei atacheza yanga na wala hakuna anayeona umetenda dhambi, kuwa yanga au Simba sio dhambi...Me wala sikufautilii wewe
Huu Uzi una wachangiaji wengi waelewa.
Jamii forums ni jukwaa huru ni hapa kusoma na kutoa maoni
Hapa nakukemea acha kupotosha
Nina uhakika muda sio mrefu utaumbuka Kwa kuwaaminisha mbumbumbu ati FEI atacheza Simba na ukijua mkataba ulivo na Bado Azam wanahitaji FEI kwenye project ya coach Ibenge
Sijakataa ila sifa ya beki lazima uwe dynamics, ujue wakati huu unapanda wakati unashuka mwangalie Evra, Alves, Robert Carlos.Yy alishindwa kuusoma mchezo na attempt nyingi zilitokea upande wake. Chelsea walisha msoma udhaifu wake na ndio maana hata counter zao walikuwa wanazipitisha upande wake.Mendez ndie mlinzi bora wa pembeni upande wa kushoto kwasasa, anauwezo mkubwa wa kukaba na kushambulia, kilichotokea kwenye ile mechi ndo huwa tunasema mpira uheshimiwe, muundo wao wa kiulinz kiujumla psg ndo uliwahukumu hakukuwa na mchezaji aliekuwa na cover nafasi kwa wakati ule upande wa kushoto matokeo yake Chelsea walikua free kupita, lakini kaangalie kile alichokua anakifanya mendez huwa anakifanya kila mechi
Mkuu yanga watakuwa wamelipwa ile pesa kama Fei atakuwa ameuzwa kwenda Simba kwa mujibu wa mkataba wao na Azam kama tulivyokuwa tukiambiwa?Simba wa wa kariakoo
Yanga Hana shida, hata Simba achukue Feisal...yanga tushatibu homa kidogo tulokuwa nayo.Mkuu msimu huu , yanga wamepata pont 3 ambazo sio halali Ile mechi ya Darby ya kwanza dhidi ya Simba.
Hivyo inajulikana.
Ila kwa Simba ni point zaidi ya 3 zipo mechi kama shida ya pamba jiji Ile ya kwanza, singida Ile mechi ya 2, mashujaa mechi zote mbili Hilo liko wazi kabisa.
Madhaifu ya yanga yalikuwa beki wa kulia na kutengeneza mashambuli kupitia katikati. Ambayo wamejaribu kuyasolve.
Mbona Yanga walimtoa Mayele wakati ni key player na wako na project nae?Azam wana project Yao na wapo serious msimu huu
Hawawezi kumtoa key player wao ili mashabiki wa Simba wafurahie
Uongozi wa Simba unafanya mwendelezo wa kuwapumbaza mashabiki Kwa propaganda nyepesi
Wachezaji wapo wengi washushe vyuma waache maneno
Defensive Duties: Intercept passes, tackle opponents, and break up attacks. Hazijawahi kubadilika na hazito badilikaMain responsibility sio mchongo kwenye modern football
Defensive Midfielder (DM) imebadilika sana kutoka jukumu la kawaida la kuzuia mashambulizi hadi kuwa kiungo wa kiufundi na kimkakati.