DUBULIHASA
JF-Expert Member
- Nov 26, 2016
- 6,138
- 11,989
Watu wanamuuza mpaka Messi yeye analeta story za Fei Toto....Mkuu, nikuulize, wewe ndo kiongozi wa Azam, kama mchezaji kaamua hataongeza mkataba(zingatia neno kama), ofa imeletwa dola 500,000 utachukua hatua gani? Achana na mambo ya Simba, assume hata hiyo ofa haijaletwa na Simba. Utamuuza au utampa ibenge?
Hapa ungeambiwa Mpanzu anakwenda yanga ungekenua. Ebu tuache ushabiki maandazi.Hiyo bilioni 1 anatoa Mangungu au Mwekezaji!! Comrade acheni kueapumbaza mashabiki kupitia hizi tetesi zenu. Na vipi kuhusu kocha mpya wa Azam! Unategemea atakubali kirahisi tu mchezaji tegemeo kwenye timu kuuzwa kwa timu pinzani kwenye ligi hiyo hiyo?
Au unafikiri Ibenge ni kocha wa mchongo na asiyependa kushindana mwenye ligi kwa ajili ya makombe?
Wewe nae waga ni dish sasa hao uliowataja walikua wanamajukumu sawa na huyu Konte au ujuaji tuNamuona Ikangalombo na Konkoni msimu ujao
Modern defense midfielders lazima waongeze mchango kwenye offensive strategies na ndio maana anategemewa zaidi kwenye TransitionDefensive Duties: Intercept passes, tackle opponents, and break up attacks. Hazijawahi kubadilika na hazito badilika
Ila zilizo ongezeka ni kuwa na uwezo wakupiga key passes za kuanzisha mashambulizi,Mf Yanga movement karibia zote zinaananzia kwa Aucho.Lakini kama hujatimiza za juu ,basi hata ukiwa mzuri vipi wa kupiga key passes ni kazi bure.
Mimi nimeongea kitaalam, wewe unaleta ushabiki. Nifurahie kwa lipi sasa Mpanzu kwenda Yanga! Kwanza Yanga ya sasa unaiona ina pengo la mchezaji aina ya Mpanzu?Hapa ungeambiwa Mpanzu anakwenda yanga ungekenua. Ebu tuache ushabiki maandazi.
Hivi mnajiona jinsi gani mashabiki wa uto mlivyo wapumbavu ni nani kawadanganya hili, mbona wakala wa fei yule jasmine alishatoa ufafanuzi kuhusu hili na hii propaganda ikafa sasa sijui viongozi wenu wamewadanganya nini, naomba nikuambie fei akisajiliwa simba nitakuwa wa kwanza kukurudia unipe ushahidi wa yanga kupokea bilioni moja na usije kubadili manenoIli FEI auzwe Yanga laZima avune 1b
Je Azam wapo tayari kufanya biashara ili kuinufaisha Yanga
Ninsa uhakika 💯 FEI hawezi kucheza Simba msimu mashabiki mbumbumbu Wacha wadanganye
Sawa ila lazima kwanza afanye kazi yake ya msingi. Juzi Mendes na Chelsea alishindwa kufanya kazi yake ya msingi ya kukaba kama beki kilicho tokea umekiona zaidi ya asilimia sabini za attempt zote za Chelsea zilitokea upande wake sababu mda mwingi alikuwa anataka kupandisha mashambulizi. Sawa Modern DM,LB,RB wanatakiwa waanzishe mashambulizi, ila cha kwanza wanacho takiwa kutimiza ni majukumu yao ya msingi ,wasipo fanya hivyo lazima wataigharimu timu.Modern defense midfielders lazima waongeze mchango kwenye offensive strategies na ndio maana anategemewa zaidi kwenye Transition
Sijamaanisha majukumu, nimemaanisha fate yao.Wewe nae waga ni dish sasa hao uliowataja walikua wanamajukumu sawa na huyu Konte au ujuaji tu
Sawa mbumbumbuHivi mnajiona jinsi gani mashabiki wa uto mlivyo wapumbavu ni nani kawadanganya hili, mbona wakala wa fei yule jasmine alishatoa ufafanuzi kuhusu hili na hii propaganda ikafa sasa sijui viongozi wenu wamewadanganya nini, naomba nikuambie fei akisajiliwa simba nitakuwa wa kwanza kukurudia unipe ushahidi wa yanga kupokea bilioni moja na usije kubadili maneno
Muweke na Debora,Ateba na Mikwara bila kumsahau Papaa Omary wa Njombe(Jobe)Sijamaanisha majukumu, nimemaanisha fate yao.
Hapo ningemuongezea na Skudu
Kama sikosei, Javier Maschelano hadi anaondoka Barca ana goli moja alipewa sijui penati vile, la sivyo hakuwahi kuifungia Barcelona goli kabisa. Na alikuwa anacheza kiungo hadi pale alipokuja kuhamishiwa nafasi ya beki baada ya Puyol kuchoka.Hivi una akili Gani aisee
Yaani unaulizia assists na magoli Kwa mchezaji anayecheza DM
Haya twambie hawa wana magoli mangapi kwenye career yake
Bosquet
Kante
Makelele
Casemiro
Vitinha
Essien
Song
Aucho
Rodri
Modric
Xabi Alonso
Huyo jamaa nimemuelezea lakini kichwani ana samadiKama sikosei, Javier Maschelano hadi anaondoka Barca ana goli moja alipewa sijui penati vile, la sivyo hakuwahi kuifungia Barcelona goli kabisa. Na alikuwa anacheza kiungo hadi pale alipokuja kuhamishiwa nafasi ya beki baada ya Puyol kuchoka.
Ndio maana hatuwajaji kwenye kufunga na ku assist kwenye mechi 10 ila kwenye mechi 55 bila assist wala goli lazima ukune kichwa kweli kumtetea.Sawa ila lazima kwanza afanye kazi yake ya msingi. Juzi Mendes na Chelsea alishindwa kufanya kazi yake ya msingi ya kukaba kama beki kilicho tokea umekiona zaidi ya asilimia sabini za attempt zote za Chelsea zilitokea upande wake sababu mda mwingi alikuwa anataka kupandisha mashambulizi. Sawa Modern DM,LB,RB wanatakiwa waanzishe mashambulizi, ila cha kwanza wanacho takiwa kutimiza ni majukumu yao ya msingi ,wasipo fanya hivyo lazima wataigharimu timu.
Sawa hajawahi kufunga vipi ana key passes ngapi,ana interception ngapi, tackling ngapi amepora mipira mara ngapi ? Hizi rekodi hujaweka kwani haya ni majukumu yake ya msingi.Ndio maana hatuwajaji kwenye kufunga na ku assist kwenye mechi 10 ila kwenye mechi 55 bila assist wala goli lazima ukune kichwa kweli kumtetea.
Kwasababu hai make sense kuwa kwenye michezo yote 55 timu yake ilikuwa inazuia tu kiasi cha yeye ku stick kwenye eneo lake bila yeye kupata fursa za kupanda kushambulia.
Mechi 55 ni nyingi guys tuache utani, I can assure you hata tukisems tuangalie teammates wenzake wanaocheza kwenye maeneo ambayo ni ya kiulinzi zaidi kuliko yeye, hatuwezi kukosa numbers za assist au goli kwenye michezo 55
Kwa kiKama sikosei, Javier Maschelano hadi anaondoka Barca ana goli moja alipewa sijui penati vile, la sivyo hakuwahi kuifungia Barcelona goli kabisa. Na alikuwa anacheza kiungo hadi pale alipokuja kuhamishiwa nafasi ya beki baada ya Puyol kuchoka.
Mchezaji kama Bosquest akicheza misimu miwili na akiwa na form ya juu bila goliNdio maana hatuwajaji kwenye kufunga na ku assist kwenye mechi 10 ila kwenye mechi 55 bila assist wala goli lazima ukune kichwa kweli kumtetea.
Kwasababu hai make sense kuwa kwenye michezo yote 55 timu yake ilikuwa inazuia tu kiasi cha yeye ku stick kwenye eneo lake bila yeye kupata fursa za kupanda kushambulia.
Mechi 55 ni nyingi guys tuache utani, I can assure you hata tukisems tuangalie teammates wenzake wanaocheza kwenye maeneo ambayo ni ya kiulinzi zaidi kuliko yeye, hatuwezi kukosa numbers za assist au goli kwenye michezo 55
Debora ana goli la Simba dayMuweke na Debora,Ateba na Mikwara bila kumsahau Papaa Omary wa Njombe(Jobe)
Jaribu kuwa mtu mzima, embu achana na huyo jamaa.Sawa ila lazima kwanza afanye kazi yake ya msingi. Juzi Mendes na Chelsea alishindwa kufanya kazi yake ya msingi ya kukaba kama beki kilicho tokea umekiona zaidi ya asilimia sabini za attempt zote za Chelsea zilitokea upande wake sababu mda mwingi alikuwa anataka kupandisha mashambulizi. Sawa Modern DM,LB,RB wanatakiwa waanzishe mashambulizi, ila cha kwanza wanacho takiwa kutimiza ni majukumu yao ya msingi ,wasipo fanya hivyo lazima wataigharimu timu.
Huyo jamaa lipokuja suala la Simba anakuwa mnazi kupindukia.Unabishana na huyu mbumbumbu Scars atakusumbua sana.
Huyu mpira uwa anauelewa kinyumenyume.
Mwenzako mpaka sasa hivi anaamini Chama ni bora kuliko pacome.