Feisal2020
JF-Expert Member
- Nov 15, 2018
- 1,337
- 3,436
😂😂 supu na chapati beeYaan mgao atakaopata kwenye hyo billion Moja hamna hamna ni kwenye zile supu tu basi😂😂
Dogo unajionesha jinsi Gani hujasoma na huna akili mana ulikmbia maswali yangu yenye akili, wewe na wenzako wa frogs FC huku hamna kitu kichwani zaidi ya kua oya oya tu..Yan wewe kapuku unajadili bilioni 2 za mkataba wa mtu , hata buku Tano tu inakushinda.🚮Alafu akisha banwa mapumbu, hukataa kua yeye sio kolokoloni.
Wasemaji wanatakiwa waongee kile wanachoambiwa na viongozi wao Ila wao wanajifanya Kama wamiliki wa timu wanaongea mpaka Mambo ya kiufundu ya timu wakati Hilo ni jukumu la kocha.Biashara za matajiri katu kapuku hawezi jua. Ndio maana Masanzu anasema Sowah katolewa bure. Tumsimlaumu kwa sababu inawezekana matajiri wamelipana juu kwa juu wenyewe kwa wenyewe au kupitia makampuni yao halafu yeye Masanzu anasubiri aone muamala kwenye benki akaunti ya timu ya Singida. Mwambieni anajichosha bure mitandaoni na redioni anakokesha akipiga kelele na kushupaza shingo kuwa Sowah katolewa bure.
Vivyo hivyo kwenye suala la Feitoto lolote linaweza kutokea kwani sasa hivi imebaki mazungumzo kati ya matajiri wawili. Huko sio Zaka Zakazi, Hashim Ibwe au Ahmed Ally wanaoruhisiwa hata kupita karibu wakati mazungumzo yanaendelea. Kwa hiyo hao wasemaji wote wa Simba na Azam wasimalize maneno waweke akiba ya maneno ili likija kutokea la kutokea wasibaki na aibu. Tuwape muda matajiri wazungumze wenyewe watamalizana kwa aidha Fei kwenda Simba au kubaki Azam. Hakuna linaloshindikana chini ya jua ndio maana wiki mbili tu zilizopita mtu angeanzisha uzi hapa kusema Sowah anaenda Simba angetukanwa kila aina ya tusi na watu wote hapa jamvini wa Yanga na hata wa Simba.
Ni mtizamo tu
Unaonaje akisajiliwa na Simba na wewe ule ban kumsaidia jamaaSawa sawa, asiposajiliwa itabidi ban ikugeukie wewe
Nimependa unavyochekaHahahha
Mkuu Fei anakuuma lkn ukwel ni ni kwamba Fei Toto ni mali halali ya simbaWewe ni mmoja wa mbumbumbu Aliaowataja Rage
Yaani huyo sio CR7 na hakuna mtu ana muogopa ndio maana yanga tulimuacha lkn watu wanakataa taarifa za uongoMkuu Fei anakuuma lkn ukwel ni ni kwamba Fei Toto ni mali halali ya simba
Umetisha mkuuSawa sawa, asiposajiliwa itabidi ban ikugeukie wewe
Huyo ni kolo mwanachama wa Rage aliwaita mbumbumbuHechilema alishaapa kua Feisal lazima msimu huu acheze simba.
Na alienda mbali kwa kusema keshasajili.
Wamesema watanipiga mawe
Jiweke wazi kuwa wewe ni koloWamesema watanipiga mawe
Kwa hiyo wewe ni chura?Jiweke wazi kuwa wewe ni kolo
Mbona watu humu tunajulikana timu zetu na Huwa tunaleta tetesi na wadau wanaelewa
Wewe unajifanya huna upande kumbe ni mwanachama mtiifu wa Rage, yaani mbumbumbu
aUle ni mfumo (Chepassback) uchawi wa Che malone Fondo, toka amekuja hajui kwenda mbele yeye akipata mpira, hajui kingine zaidi ya kurudisha mpira kwa kipa.
Mlinzi huyu.