Teuzi za Rais Samia zina upendeleo?

Ingia barabarani Sasa tupigane wajinga wakubwa nyinyi . Miaka yote mmejaa nyie selikakini tukihoji mnasema hatujaenda shule .
 
Kaka hakuna mahali nimesema lazima baraza liwe la dini flani...ila tunachotaka kuwe na balance 50% kwa 50%
Hiyo balance kwanini izungumzwe sasa? Tuliona teuzi za Nyerere, Mwinyi, Mkapa, Kikwete, Magufuli na sasa Mama na kwenye hizi teuzi Wakristo wamekuwa dorminant. Wakati wa Magufuli hali ilikuwa mbaya zaidi maana yeye hakuona aibu kuwaacha Waislam kwenye teuzi zake na ikaonekana sawa. Waliohoji walijibiwa Rais anaangalia utendaji na si dini. Ukweli ni kuwa Rais yeyote Muislam nchi hii lazima apingwe kwa karata ya udini hata kama atajaza Wakristo kwenye nafasi za uteuzi. Wakristo wamezoea hizi nafasi kupata wao na ikitokea kuna Waislam wachache wamo kwao ni tatizo.
 
Sasa mbona Baraza lina wakristo wengi kuliko waislamu.. Huoni wewe umekurupuka bila kujua alimaanisha dini gani.

Umeweka ujuaji mkuu
Wanaolalamika wanajua kwanini wanalalamika.Na hii sio post ya kwanza.Nchi hii hamna dini ina executive rights za kuamua nani ateuliwe na wakati gani.Umefika muda wavimba macho wajue kwamba muda wa kupendelewa umeisha.
 
Kuna sheria kanuni yoyote ya uteuzi inayozungumzia kuhusu dini?...

Dini ni majina?... Akiwepo Waziri anaitwa John ndo kanisa litafaidika... Akiwepo waziri MWANASIASA anaitwa Omari ndo uislamu utafaidika?

Hivi hao wanasiasa, ni wangapi wana msaada mkbwa kwenye kusaidia au kutetea dini zao?
 
Ndio maana namkumbusha mteuzi aache udini.
 

Hacha ujinga basi mzee ficha walau huo ujinga wako,Ongea kama mtu anayejinunulia bando vinginevyo uwe unapewa na shemeji yako simu yake utumie.
 
Mtoa post unadhani Rais Samia anapendelea dini gani na kwa ushahidi upi. Tuletee hapa hizo teuzi tuzione ufafanue hoja zako kwa ushahidi.
Tanga 3, Zanzibar 5 na Pwani 5.Unateuaje Mawaziri namna hiyo wakati Mikoa mingine haina uwakilishi Barazani?
 
Wanaolalamika wanajua kwanini wanalalamika.Na hii sio post ya kwanza.Nchi hii hamna dini ina executive rights za kuamua nani ateuliwe na wakati gani.Umefika muda wavimba macho wajue kwamba muda wa kupendelewa umeisha.
Mjadala wa udini kwenye Executives ni senseless.

Yaani wale wanasiasa tuwatazame katika sura ya kidini.. Ni senseless
 
Wanadeka mno!
 
Wewe ndo unawasalisha au kuwasswalisha?

Wewe ni MCHUNGAJI, shehe au mganga wao?

Si sawa kuwatizama wateule wa Rais na kuchunguza Dini zao,

Tunapotafuta viongozi kuongoza Nchi hatuangalii dini, Bali uwezo.
Tulia kwanza ndio uchangie huu uzi. Unakamhemko ndani yake.
 
Hili ndio lilikuwa baraza lililoongoza kwa udini toka tupate uhuru.

Huenda sasa hivi raisi anajaribu kubalance ili kupunguza malalamiko ya upande mungine. Maana na wao ni watanzania hawakustahili kupewa mawaziri wanne tu nchi nzima.
Asantee mkuu. Wala tulipo hoji hili tukaambiwa tutulie hatuna elimu. Na kwamba walioteuliwa wanasifa Wala sio kigezo Cha dini zao.
 
Hacha ujinga basi mzee ficha walau huo ujinga wako,Ongea kama mtu anayejinunulia bando vinginevyo uwe unapewa na shemeji yako simu yake utumie.
Acha sindano iwaingie. Kama kuwaambia ukweli ndio ujinga acha niwe mjinga. Rais haangalii dini kwenye teuzi bali anaangalia utendaji.
 
Muache Rais afanye kazi wewée, Mbona Magufuli baraza lake loote waislamu walikuwa watatu tu Uliongea kitu
Kwaiyo na yeye Rais wa Maridhiano anarudia ya mtangulizi wake,maana jina la Sukuma gang lilitokana na hii tabia mbaya ya JPM, Kwaiyo na yeye anataka apewe jina la Pwani gang?
 
Asantee mkuu. Wala tulipo hoji hili tukaambiwa tutulie hatuna elimu. Na kwamba walioteuliwa wanasifa Wala sio kigezo Cha dini zao.
Ndo hivyo mkuu inabidi na wao wavumilie kama walivyovumilia wengine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…