Nisipoweka neno Mbwa,mbwa atajisahau ajifananishe na SIMBA.

Sijui umeelewa why nawaita Mbwa.
Sasa ikawaje Simba akapandwa na mbwa mfululizo? Hii dunia haiishi maajabu. Kuna viumbe tunaishi navyo utasikia wanaume wote mbwa. Haya endelea kuita Mbwa mkuu ili moyo wako uridhike🤣🤣🤣
 
Sasa ikawaje Simba akapandwa na mbwa mfululizo? Hii dunia haiishi maajabu. Kuna viumbe tunaishi navyo utasikia wanaume wote mbwa. Haya endelea kuita Mbwa mkuu ili moyo wako uridhike🤣🤣🤣
Kwahiyo umekubali Yanga ni Mbwa?
 
Kama Mbwa anampanda mbwa kwani nibishane mkuu? Acha ibaki hivyo
Mbwa ni mmoja tu mkuuu.
Usisahau SIMBA aliandika barua moja tuu.

Mpaka leo yanga ameandika barua karibia Dunia nzima
 
Mbwa ni mmoja tu mkuuu.
Usisahau SIMBA aliandika barua moja tuu.

Mpaka leo yanga ameandika barua karibia Dunia nzima
Mbona sijakataa mkuu. Acha uite unavyotaka ndio furaha yako inatimia. Ikitokea Mbwa akawa na uwezo wa kumfanya chochote Simba mfululizo ni fahari, simba anakuwa hana tofauti na mbwa wengine. So nakubaliana na wewe
 
Msemaji wa Club hakurupuki vyote anavyo vifanya ni maamuzi ya Club,Kamwe hawezi kujiandikia barua mwenyewe, sababu hana reference. Vikao vya mamuzi vikifanyika then Kamwe ataambiwa afanye nini. Pili kwenye vyama vyetu vya soka kuna mengi sana hatuelewi, hasa upande wa fedha sababu hakuna wakaguzi wa ndani na wanje, kila mtu akipata nafasi anapiga na kutambaa. Ndio maana kuachia uongozi wa TFF au bodi ya ligi ni ngumu ,sababu kuna hela ambazo hazifuatiliwi. Ngojea Yanga nae ataibuka na lake.......

Sijajua hapa TFF wataibuka na nini?
 
Bado mnadaiwa....hamjasoma barua ya TFF?
 
Ana kesi ya kujibu soon..
Umeongea vyema...au kama wataruhusu kiburi kitawale...tunaenda kupata tunachokitafuta kama nchi...
Mjiadae nakauli zenu zile za vitisho mlizo ongea baada ya kuamishiwa uwanja, kuanzia Magol, Mo na msemaji wenu anaye wakilisha Club yenu uongea kauli vitisho.Mlizani CAF hawa helewi kumbe kuna Google translator.
 
Sasa wanapoposti hapa sisi tunawezaje kufanya usuluhishi (Reconciliation) ya hesabu zao?

Wameitwa waende ofisi za TFF usuluhishi wa hesabu zinazokataana ukafanyike ijulikane wanadai au hawadai.

Hii timu ya YANGA inaendeshwa kishamba sana na kutafuta huruma za mashabiki. Haiwezekani unachapisha taarifa za kihasibu za upande mmoja pekee wakati unajua ulimpa mamlaka mtu mwingine kusimamia malipo ya pesa zako.

Anyway, ngoja tuone huu ujinga nao unaishia wapi
 
Mjiadae nakauli zenu zile za vitisho mlizo ongea baada ya kuamishiwa uwanja, kuanzia Magol, Mo na msemaji wenu anaye wakilisha Club yenu uongea kauli vitisho.Mlizani CAF hawa helewi kumbe kuna Google translator.
Lipeni madeni achaneni na CAF...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…