TO wa mwaka 2006 kidato Cha sita anatrend mitandaoni baada kufariki 2020

Yes,hakuna anayetilia shaka uwezo wake shida ni ego!!
 
Mitihani ya zamani ilitungwa ili tu kufelisha, kupunguza idadi ya watakaochaguliwa kuendelea na masomo. Na wenye akili wengi walifeli sana, ile instruction tu ilikuwa na mtego mkubwa ukiparamia pepa kwa kuwa unaona hakuna swali gumu hata moja unafanya yote kumbe umeambiwa maswali fulani usijibu we ukayajibu unafeli pakubwa kwa kutokuwa makini na maelekezo ya kujibu maswali. Maswali yenyewe yalijaa mitego mingi, ukiambiwa outline we uka mention unakosa maksi, ukiambiwa identify we uka uka signifie utapoteza maksi. Unajibu swali moja ukajaza booklet mbili au moja maksi zinapungua. Kupata four tu enzi hizo ilikuwa ni satsfactory na kozi utapata ya kusomea ujuzi unaoutaka katika vyuo vya kati. Pepa zilikuwa ngumu sana wani zilikuwa za kuhesabika
 
Nimesoma ma pathology , biochemistry, anatomy, microbiology na nk chuo kikuu, ila sikuona ugumu wake kama mapindi ya six 🤔
Inategemea ulisoma wapi?Kama ni Muhimbili ya 2002 kurudi nyuma huko hivyo vitu visikie tu,vilizima ndoto za magenius wengi kuwa madaktari!Disco nje nje!
 
Inategemea ulisoma wapi?Kama ni Muhimbili ya 2002 kurudi nyuma huko hivyo vitu visikie tu,vilizima ndoto za magenius wengi kuwa madaktari!Disco nje nje!
Vitu ni vile vile tu mkuu, labda nyenzo duni tu ndio husababisha mambo kuwa magumu
 
Vitu ni vile vile tu mkuu, labda nyenzo duni tu ndio husababisha mambo kuwa magumu
Mambo yamekuwa simple wewe!Naelewa ninachokisema!Nimeishi maisha hayo za Zamani na Bado naendelea kuyaishi na nitastaafu katika maisha hayo ya vyuoni!Nafahamu nachokisema
 
Hapana miaka ya 2000 mpaka 2007 elimu ilikuwa ngumu sana.
Ilikua balaa.enz zile necta yetu ya form 2.kupata wastan wa C jasho linakutoka. Na ilikua unarudia kweli form 2. Na kweli ilikua kupata div 1 dar ngumu madogo walikua wanachetuka vibaya club billz disco toto la mwisho saa 12 jion kipind mt blue ndio anawika so unakuta matoto ya kkko na ilala yakishindwa shule mapema. Ya shebi robi yalikuaga na ka akili akil kias ingawa walikua Arts sana ndio wanaionea
Ukikuta one imesimama ujue dogo muhindi wakina Ajay, tatizo la jf limevamiwa na watoto wa walizaliwa 2000.mafaza wanawazoom tu. Wewe mtu unapas aza boy kufika unakuta mwenzako kashakata topic zote mpaka za form 4 anabak kusolve utawaambia nin? Sijui kwann sas hiv hawa watoto hata hawssom nashangaa sana.
 
Kuna tofauti kati ya genius na mtu mwenye uwezo mkubwa wa kukariri. hao unaowasema wewe wanauwezo mkubwa wa kukariri na sio ma-genius.

Nimewahi kusoma na genius mmoja chuoni . tukitoka class yeye ni kucheza game au kulala tu na hata notes hana sijui vitini madaftari hakuna lakini ajabu ni kwamba akifika kwenye mitihani alikuwa anafaulu vizuri sana.
Cha kusikitisha, hakumaliza chuo. tulipokuwa semester ya mwisho ya mwaka wa tatu alituambia amepata msiba wa mama yake Dodoma alipoenda msibani hakurudi tena chuoni. Hadi leo sijui yuko wapi. mara nikasikia jamaa alikuwa kitengo sasa sijui ni story tu au ni kweli.
Tukio hilo lilinifanya nifikirie ule msemo unaosema kwamba wakati mwingine ma-genius hawamalizi chuo.
 
Mambo yamekuwa simple wewe!Naelewa ninachokisema!Nimeishi maisha hayo za Zamani na Bado naendelea kuyaishi na nitastaafu katika maisha hayo ya vyuoni!Nafahamu nachokisema
Urahisi wake upo wapi? Tofauti na hayo ya zamani?
 
Ni shule zote na tuition centres alizopita alitengeneza bifu na walimu wenzie!!

"...huwezi kufaulu kwa kufundishwa na hao waliofeli".

"...Walimu nchi nzima wakae watunge maswali ya Physics wanayoona ni magumu sitokosa hata moja ,ila mimi nikitunga swali moja la Physics akalipatia hata mwalimu mmoja nchi nzima,nachoma vyeti vyangu".


Hizo ndiyo baadhi ya sumu za TO Kihombo!! 😁😁 Nafikiri hata nyuma ya ku-disco UD ni kuwaletea ufahari "mafaza".
 
Haahhha kweli
 
Urahisi wake upo wapi? Tofauti na hayo ya zamani?
Cha kwanza tu walimu hawapendi wanafunzi wao wafeli!,mwanzo ilikuwa ni vyuo vya private,na sababu wanafunzi ndo customers wa kugenerate incomes,so namna zinafanyikaPili Muundo wa mitihani umebadilika sana Kwa sababu ya wingi wa wanafunzi!
 
Cha kwanza tu walimu hawapendi wanafunzi wao wafeli!,mwanzo ilikuwa ni vyuo vya private,na sababu wanafunzi ndo customers wa kugenerate incomes,so namna zinafanyikaPili Muundo wa mitihani umebadilika sana Kwa sababu ya wingi wa wanafunzi!
OK nimekuelewa mkuu
 
mm niliyepata three ya mwishoni nikoment wap sasa misifa tuuu.....!
hiyo three inategemea ya miaka ipi kama ya kuanzia 2015 kuja juu wewe ni kiazi ka ni kuanzia 2012 kushuka chini uko vizuri pia
 
Nasikia pamoja na majigambo yake yote lakini hayakutanabali kwa mtambo HIV.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…