Today I Learned (TIL): Adam alikuwa na Wake Wawili

Today I Learned (TIL): Adam alikuwa na Wake Wawili

Adam na Eva ni mpango rasmi wa Mungu baada ya mipango ya awali kuferi.

Kabla na Baada ya Adam kulikua na Watu wakiishi nje ya mfumo wa Bustani ya Eden na maisha yakaendelea.
 
mwanzo 1:26-27. imebeba muktadha wote wa uumbaji sehemu ya kwanza.
mwanzo 2;18 uumbaji no2 hii iko wazi . kinachokusumbua wewe ni kukaririshwa tangu ukiwa mdogo hadi wa leo.

Binafsi huwa nikisoma mwanzo2:18... nagundua kuna maboresho mungu aliyafanya tena
Kwenye hayo maboresho binafsi naona ni rejea na si maboresho. Ndo maana nikauliza swali kuhusu kutokuwepo kwa mtu wa kuilima ardhi katika hayo maboresho.
 
Hapo naona imeandikwa, hapakuwa na mche wa kondeni, hapakuwa na mvua, wala hapakuwa na mtu wa kuilima ardhi.

Swali: Kama si rejea, kwanini hapakuwa na mtu? Adam alikuwa wapi na uuambaji wa kwanza ulishatokea?
SAsa kutokuwa na kitu chochote Kwenye dunia wakati Kwenye mwanzo 1 kumefanyila Uumbaji huoni Kuna walakini?

Na hata uumbaji wa miti,Mche na hata iliyofanya Mimea kukua sio mvua ni maji yaliyotengwa na Mungu mwenywe..

Jibu la.swali lako ilipaswa mimi ndo nikuulize..
Lakini anyway ngoja nikujibu..
Ndo maana mwanzoni kabisa nilikujibu hivi Kama utazungumzia Doccumentary Hypothesis tunaweza tukadiscuss kitu kingine kabisa ikiwemo JEPD facts Zamani JEPD theory..

Ila lets discuss your Perspective...

Tafsiri ya neno Adam na mtu imetolewa na Mwanzo 5:1-2
Screenshot_20240317_121827_Biblia Takatifu.jpg

Baada ya uharibifu ilibidi Adam abadilishwe tena Kutoka Kwenye ule uwili wa Kijina alioukuta kwenye kwenye umoja wa Kijina aliopewa baadae..
It was a process...

Na ndo maana

Adam wa Kwanza kila alipotajwa zilitajwa nafsi mbili mwanamke na mwanamme (Mtu)
Soma pia mwanzo 1:26-27 pia alipoandikwa na kupewa maagizo alipewa maagizo kwa wingi na sio umoja tofauti na Adamu wa Baadae..
Screenshot_20240317_122118_Biblia Takatifu.jpg


Na ukiangalia mtu wa Pili au Adamu wa Pili..
alikuwa Hajawa nafsi baada ya kuumbwa tofauti na adamu wa kwnza na kingine adamu wa pili anapoumbwa hakuwa kwenye Bustani alipelekwa baada ya kuumbwa na huyo wa kwanza aliumbwa kwenye sehemu tayaru iliyomea na alipewa Tamko la kuzaliana..

Sasa Adam wa pili alipewa Nafsi yenye pumzi ya Mungu..
Screenshot_20240317_122626_Biblia Takatifu.jpg


Sasa kwa wayahudi hawa ADAM wote wawili huwa na Majina yao..

Adamu wa Kwanza wanamuita Adam Kadmon (אָדָם קַדְמוֹן,) Au Pia baadhi wanamuita Adam Elyon (אָדָם עֶלִיוֹן,) ʾ "Mtu Kutoka Juu sana"),

au wengine Adam Ila'ah (אָדָם עִילָּאָה,) ("Mtu mtakatatifu au Adam mtakatifu"), wakati mwingine wanafupisha kwa A.K (א"ק, ʾA.Q.).


Huyu wanamregard kama Adam wa Kiroho Kwa sababu hakuumbwa kwa Udongo..

Adam wa Pili ndo adamu ambaye Ndo physical Adamu au Adamu wa Udongo anaitwa Adam Ha-Rishon. Sasa Adam Harishon ndo Adamu wengi wanaomfanya kuwa Sawa na Adamu wa Kwanza Adamu Kadmon Adam kadimon sio sawa na Adam harishon...

Najua umewahi kukutana na Andiko hili la 1 wakorintho 15:45-50..
Na wakakuambia Adamu hao wawili kuwa Adamu wa kwanza ni Adam na Adamu w pili ni Yesu..
Sure I am Telling you wamekudangamya kuficha ukweli..
Ukweli ni kwamba Kuna ADAM wawili..
Screenshot_20240317_124221_Biblia Takatifu.jpg
 
Adam na Eva ni mpango rasmi wa Mungu baada ya mipango ya awali kuferi.

Kabla na Baada ya Adam kulikua na Watu wakiishi nje ya mfumo wa Bustani ya Eden na maisha yakaendelea.
Safi na hili ndo nilitaka kulisema kwamba adamu wa kwanza alipoumbwa unaona kabisa hakuna story za edeni..
Ila adamu wa pili unaona anapelekwa Edeni..
Watu wanashndwa kutumia Akili zao kuangalia na kung"amua
 
Sawa, she existed, but kwa reference ya maandiko kutoka katika kitabu kipi? Kama ni mwanzo 1 na 2 kuna mambo yapo wazi kabisa yanayoonyesha kuwa mwanzo 2 si uumbaji wa pili ukiachana na ule uliochukua siku 6 kumalizika.
Hivi unafahamu kama hata Biblia kuna maandiko yaliondolewa?
Bado unataka Refference kwenye Kitabu ambacho na chenyewe ni refference?
 
Hadithi ya Lilith ni moja ya hadithi za zamani ambazo zimekuwa sehemu ya mapokeo ya baadhi ya jamii. Katika baadhi ya mafundisho ya Kiyahudi ya kale, Lilith anatajwa kama mke wa kwanza wa Adamu kabla ya Hawa. Hata hivyo, ni muhimu kutambua kwamba hadithi hii haipo katika maandiko rasmi ya Kiyahudi au ya Kikristo, kama vile Biblia au Talmudi.

Kulingana na hadithi hizo, Lilith alidai usawa na haki sawa na Adamu, na alipokataa kutii amri za Mungu za kuwa chini ya Adamu, aliondoka kutoka kwa Adamu na Paradiso. Baadaye, Hawa aliundwa kutokana na ubavu wa Adamu, kama ilivyoelezwa katika Biblia.

Hadithi hizi za kiasili za maandishi ya zamani mara nyingi hutumika kuelezea masuala ya kijamii, kiutamaduni, au ya kisaikolojia, na hazipaswi kuchukuliwa kama ukweli wa kihistoria. Ni hadithi za kuburudisha au kufundisha, na haziingiliani na mafundisho rasmi ya dini.
Hizi hadithi ni sawa tu na ile hadithi ya kwamba Abraham akitaka kumchinja Ishmael kama sadaka! Hasina ukweli wowote! Kuumbwa kwa Hawa (Eva haikuchukua hata mwezi) Sasa huyo Lilith alikuwa wapi wakati Adam anaumbwa mpaka anawekwa kwenye bustani ya Eden akaonekana hana wa kufanana naye ndipo Mungu akamletea usingizi mzito!
 
Biblia haikuandika kila kitu ni baadhi TU ya Yale yamfaayo mwanadamu.
Mambo mengine yapo kwenye vitabu vingine vya historia ambavyo vingine vilipotea au chomwa moto pindi tawala zilipovamiwa.
Mfano maktaba kubwa ya Alexandria Misri ilipochomwa Moto wakati wa uvamizi wa warudi ilipotea na historia mbalimbali za jamiii ya misri ya kale.
Hata miaka kuishi maisha binafsi ya Yesu ipo kwenye vitabu vingine.
 
Ingia google utapata maelezo mengi kuhusu Lilith.
Wengine usema ndie Medusa yule mwanamke ,wengine usema ndie samaki nguva
 
Katika pita pita nimesoma hivo leo. Sio kwenye biblia.

Kwamba Adam alikua na mke wa kwanza anaitwa Lilith ambae nae aliumbwa na Mungu kwa udongo. Sio kutolewa mbavuni kwa Adam.

Ila Adam alivotaka kumdominate Lilith, uyu sista akawa kiburi akakataa kutawaliwa. Wakagombana.

Pia pengine walisema chanzo cha ugomvi ni Lilith kutaka kua on top wakati wa sex, na anasema kabisa ni haki yake. Mambo ya 50/50 hayajaanza leo na mwisho wake wakashindwana.

Hapo ndio Eve akatokea.

Mwenye nyama ataongezea. Elimu haina mwisho.
hizo ni elimu za masonic over....na huko ni kupingana na bible ni kutoamin inshort ni upagan tu.
 
Kwenye hayo maboresho binafsi naona ni rejea na si maboresho. Ndo maana nikauliza swali kuhusu kutokuwepo kwa mtu wa kuilima ardhi katika hayo maboresho.
Nionyeshe andiko hapo mwanzo 2 kama kuna kipengele kinasema adamu aliumbwa tena au alongelea zaidi ya hiyo m,wanzo1:26. kama haipo kwanini aongelewe mwanamke pke yake?

swali jingine kwann mwanzo1:26 iseme waliumbwa kwa mfano wa mungu na mwanzo2:21-22 iseme mwanamke alitokana na ubavu na nyama ya mwanamme huoni kuna tofauti kubwa hapa?
 
Back
Top Bottom