Tony Blair kaja kumwona Mama Samia? Nina Masikitiko!

Kama kuna weledi wa uchambuzi kama huo nini kinawashinda kutoa maelezo Tony Blair anafuata nini Tanzania kumwona Rais wetu mpya mara ya pili. Matumizi bora kutatua matatizo mengi ya Tanzania ni muhimu kuliko kuonana na dalali. Tony Blair anaweza kutana na Balozi wetu Uingereza akawasilisha ujumbe wake ukamfikia Rais bila mbwembwe hizi za sasa. Msaidieni Rais wetu.

Sent from my ONEPLUS A5000 using JamiiForums mobile app
 
Poll: Should Tony Blair be indicted for war crimes? - TFN
Huyo ndio Tony Blair
 
MI 6 hushauri. Uamuzi ni wa Mwana Siasa mkuu anayeongoza Serikali baada ya kuomba baraka za Malkia!

Sent from my ONEPLUS A5000 using JamiiForums mobile app
 
Sawa mama 2025 lakini hatutaki wapambe wa aina ya Tony Blair karibu yake
Nchi kwanza kama ana mchango kwa Taifa, atakaribishwa tuu maana hamna namna nyingine, atakaribishwa tuu.

#Mama 2025
 
poor perception tony blair hakuja tanzania kama kiongozi wa taifa fulani amekuja kwa mambo zaidi ya kiuwekezaji kwa hiyo ondoeni mambo ya kiubelgiji hapa

Nashangaa sana watu bado wanamuona kama PM na kumhusisha bado na ushoga
Ila jamaa kwa sasa ni mfanyabiashara mkubwa na ni Broker pia aneangalia fursa
 
Hii kitu inaitwa Pandora papers inaanza kuonesha ni watu wa aina gani tunaodhani wanastahili kutushauri. Blair na mkewe Cherie wametajwa kushiriki ujinga wa kukwepa kodi kwa kununua property offshore. Kinachonisikitisha ni huyu huyu Blair anayeshangiliwa na kukaribishwa ikulu yetu kwa sifa.

Waafrika bado tunawaona wazungu wote ni watu wa maana, ingawa wametuibia, wametufanya watumwa na bado wanaendelea kutupa sifa za kijinga.
 
Awamu iliyopita yenyewe ilikua inakaribisha majamaa yenye kujua mbinu za kuteka na kuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…