Crocodiletooth
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 20,561
- 24,428
Serekali yetu haina muda wa mambo ya chuki na vinyongo ya kale imepita tuko na yale ya msingi tu kwa sasa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hizo propaganda zitaanza kukuua wewe kwanzaHoja za kijinga sana. Unafurahia nini uandikapo kitu unachojua kuwa unadanganya? Propaganda zitawaua siku moja.
Wakati wa Utawala wa Awamu ya kwanza ilikuwa ni vigumu sana kuona kiongozi kama Waziri Mkuu wa zamani wa Uingereza Tony Blair akiruhusiwa kuzuru Ikulu ama kukutana na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Huyu Tony Blair ni mhalifu wa kivita baada ya yeye na aliyekuwa Rais wa Marekani George Bush kudanganya dunia kwa kupitia baraza kuu la Umoja wa mataifa kuwa serikali ya Iraq ina silaha za maangamizi. Hii ilipelekea mamilioni ya raia wasiokuwa na hatia kuuwawa na majeshi ya kivamizi kutoka mataifa hayo makubwa. Ni muhimu kwa Wizara ya Mambo za Nje ya Tanzania kuangalia upya sera za sasa kuhusu kuruhusu viongozi wanaoweza kukutana na Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania haswa ukiaangalia rekodi zao za nyuma. Mwaka 1980 baada ya mapinduzi ya Liberia mauuaji makubwa yalifanyika chini ya kiongozi aliyeongoza mapinduzi hayo Samwel Doe. Baada ya mapinduzi hayo kiongozi huyo alifanya ziara ambapo serikali ya Tanzania ilikataa kumpokea lakini baada ya Rais huyo kuomba sana Mwalimu Nyerere alikubali kukutana naye kwa saa moja tu bila kuwa na shamra shamra yeyote na kiongozi huyo alilaumiwa na Mwalimu Nyerere kwa vitendo vyake vya kikatili
Nasisitiza achana na propaganda uchwara hapa jukwaani. Kama huna cha kuchangia, kaa kimya.Hizo propaganda zitaanza kukuua wewe kwanza
Aliyekwambia ameupinga nani wakati alipokulia walimzunguka kona zote...!Kwahiyo Samia amekubali ushoga?
😀😀😀😀😀Muhuni huyo alisema nchi isiyotaka ushoga isipewe misaaa
Jiwe alikutana na mbakaji ikulu nguza viking au babu seya ikulu we unasema nn kuhusu Tonny BlairWakati wa Utawala wa Awamu ya kwanza ilikuwa ni vigumu sana kuona kiongozi kama Waziri Mkuu wa zamani wa Uingereza Tony Blair akiruhusiwa kuzuru Ikulu ama kukutana na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Huyu Tony Blair ni mhalifu wa kivita baada ya yeye na aliyekuwa Rais wa Marekani George Bush kudanganya dunia kwa kupitia baraza kuu la Umoja wa mataifa kuwa serikali ya Iraq ina silaha za maangamizi. Hii ilipelekea mamilioni ya raia wasiokuwa na hatia kuuwawa na majeshi ya kivamizi kutoka mataifa hayo makubwa. Ni muhimu kwa Wizara ya Mambo za Nje ya Tanzania kuangalia upya sera za sasa kuhusu kuruhusu viongozi wanaoweza kukutana na Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania haswa ukiaangalia rekodi zao za nyuma. Mwaka 1980 baada ya mapinduzi ya Liberia mauuaji makubwa yalifanyika chini ya kiongozi aliyeongoza mapinduzi hayo Samwel Doe. Baada ya mapinduzi hayo kiongozi huyo alifanya ziara ambapo serikali ya Tanzania ilikataa kumpokea lakini baada ya Rais huyo kuomba sana Mwalimu Nyerere alikubali kukutana naye kwa saa moja tu bila kuwa na shamra shamra yeyote na kiongozi huyo alilaumiwa na Mwalimu Nyerere kwa vitendo vyake vya kikatili
Ngoja aje Mhe. Simbachawene........acha kumdiihaki Raise wetuKwahiyo Samia amekubali ushoga?
wengine wapo belgium dadekikazi inaendelea huko huko chadomo proKwa mikopo tuliyopatiwa wiki mbili hizi zilizopita, bila shaka kukubaki ushoga ndiyo itakuwa dhamana yake.
Mkuu wakati wa utawala wa awamu ya kwanza Tony Blair alikua nwana mdogo sana pengine alikua bado yupo shuleWakati wa Utawala wa Awamu ya kwanza ilikuwa ni vigumu sana kuona kiongozi kama Waziri Mkuu wa zamani wa Uingereza Tony Blair akiruhusiwa kuzuru Ikulu ama kukutana na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Huyu Tony Blair ni mhalifu wa kivita baada ya yeye na aliyekuwa Rais wa Marekani George Bush kudanganya dunia kwa kupitia baraza kuu la Umoja wa mataifa kuwa serikali ya Iraq ina silaha za maangamizi. Hii ilipelekea mamilioni ya raia wasiokuwa na hatia kuuwawa na majeshi ya kivamizi kutoka mataifa hayo makubwa. Ni muhimu kwa Wizara ya Mambo za Nje ya Tanzania kuangalia upya sera za sasa kuhusu kuruhusu viongozi wanaoweza kukutana na Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania haswa ukiaangalia rekodi zao za nyuma. Mwaka 1980 baada ya mapinduzi ya Liberia mauuaji makubwa yalifanyika chini ya kiongozi aliyeongoza mapinduzi hayo Samwel Doe. Baada ya mapinduzi hayo kiongozi huyo alifanya ziara ambapo serikali ya Tanzania ilikataa kumpokea lakini baada ya Rais huyo kuomba sana Mwalimu Nyerere alikubali kukutana naye kwa saa moja tu bila kuwa na shamra shamra yeyote na kiongozi huyo alilaumiwa na Mwalimu Nyerere kwa vitendo vyake vya kikatili
Tukiangalia hivyo basi hakutokuwa na nchi kubwa duniani ambayo tutashirikiana nayo......Wakati wa Utawala wa Awamu ya kwanza ilikuwa ni vigumu sana kuona kiongozi kama Waziri Mkuu wa zamani wa Uingereza Tony Blair akiruhusiwa kuzuru Ikulu ama kukutana na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Huyu Tony Blair ni mhalifu wa kivita baada ya yeye na aliyekuwa Rais wa Marekani George Bush kudanganya dunia kwa kupitia baraza kuu la Umoja wa mataifa kuwa serikali ya Iraq ina silaha za maangamizi. Hii ilipelekea mamilioni ya raia wasiokuwa na hatia kuuwawa na majeshi ya kivamizi kutoka mataifa hayo makubwa. Ni muhimu kwa Wizara ya Mambo za Nje ya Tanzania kuangalia upya sera za sasa kuhusu kuruhusu viongozi wanaoweza kukutana na Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania haswa ukiaangalia rekodi zao za nyuma. Mwaka 1980 baada ya mapinduzi ya Liberia mauuaji makubwa yalifanyika chini ya kiongozi aliyeongoza mapinduzi hayo Samwel Doe. Baada ya mapinduzi hayo kiongozi huyo alifanya ziara ambapo serikali ya Tanzania ilikataa kumpokea lakini baada ya Rais huyo kuomba sana Mwalimu Nyerere alikubali kukutana naye kwa saa moja tu bila kuwa na shamra shamra yeyote na kiongozi huyo alilaumiwa na Mwalimu Nyerere kwa vitendo vyake vya kikatili
Achana na mimi wewe, huna mamlaka ya kuniamrisha kukaa kimyaNasisitiza achana na propaganda uchwara hapa jukwaani. Kama huna cha kuchangia, kaa kimya.
Mh.Kagame si adui yetu....Pia ndomshauri mkuu wa kagame narwanda kuhusu uchumi
Mkuu pamoja na kuwa DHULMA ya aina yoyote si ya kuchekewa....Tony Blair na George Bush walimuua Saddam Hussein bila hatia, na mpaka sasa Iraq haijatulia hata kidogo.
Kwa kifupi, kumkaribisha Tony Blair Ikulu ni sawa kabisa na kumkaribisha JINI/ SHETANI chumbani.
Kwa hali ilivyo sasa, watu wa mtindo huo watakuja sana au sisi tutakwenda sana kwao.
Tony Blair ni mhalifu wa kivita na si mtu wa kuwa na uhusiano naye. Nchini Uingereza Tony Blair hana ushawishi wowote wa kisiasa ndani ya serikali ya Uingereza wala chama chake cha LabourTukiangalia hivyo basi hakutokuwa na nchi kubwa duniani ambayo tutashirikiana nayo......
Pamoja na mh.Tony Blair kuwa na misimamo yake ile ....
Pamoja na washirika wake kuwa na misimamo yao ile.....
Ila.....
Kinachotuunganisha si misimamo yake "ile" bali ni haya:-
1)Tanzania Inaendelea kuwa nchi isiyofungamana na upande wowote....
2)Tanzania Inaendelea kuwa mshiriki wa mambo ya kidunia kwa kuangalia maslahi yake....maslahi jumuishi ya dunia kama mapambano dhidi ya "magonjwa ya mlipuko ,mabadiliko ya tabia nchi,makundi ya waasi wenye kuhatarisha utulivu na amani.
My take:
Pamoja na Tanzania kutaka nchi ya SAHARA MAGHARIBI iwe "huru" bado ni marafiki wa nchi ya MOROCCO......
Pamoja na Tanzania kutaka kuwaona Palestina wakiishi kwa utulivu kuliko ilivyo sasa ,bado tuna mahusiano ya kibalozi na ISRAEL....hili halikuwepo huko nyuma....haina maana tumekiuka miiko....dunia inabadilika.....misimamo inabadilika ...si sisi tu hata hao nchi za MAGHARIBI...Mathalani leo hii TALIBAN amegeuka kuwa "swahiba" wa Marekani baada ya kuwa naye vitani kwa miaka 20....wamarekani wameondoka Kabul tarehe 31/8/2021 na kusababisha nao MASWAHIBA ZAO(NATO) waondoke bila ya "kupenda sana"....je baada ya hayo hujasikia juzi UMOJA WA ULAYA(EU) ukitaka kuanzisha JESHI LAO LA PAMOJA LA KULINDA AMANI ?!!!🤣
Umoja wa ulaya(EU) umeumia baada ya kutokuwa na uwezo wa kupeleka ASKARI 5000 kuulinda uwanja wa ndege wa Kabul pale walipokuwa wanawaondoa wakazi wa nchi za magharibi/washirika wao na raia waliokuwa wanaikimbia nchi yao....Je kwa hayo ndio UMOJA WA ULAYA wasiendelee kuwa washirika wa Marekani?!!!
Ushirikiano wowote ule hauna maana mnashirikiana vitu vyote.......
#SiempreSerikaliMbiliZaJamhuriYaMuunganoWaTanzania
#NchiKwanzaKablaYaNafsiZetu