eliasmisinzo
JF-Expert Member
- Aug 13, 2021
- 1,259
- 1,321
YAANI, sera za kuzuia wageni tunazitoa wapi? Miaka ya nyuma Mwl Nyerere alikemea sera ya "Uzawa" na kuiita ni Ukaburu tu, hii nayo kubagua unataka mge ni wa aina gani ni Ukaburu tu.Rubbish hizi..lini tulikuwa na ubavu wa kuzuia wageni kama hawa?